Baadhi ya wanachama wa TASWA wakiwa katika picha ya pamoja na Mwenyekiti wa kamati ya Kusaidia timu ya Taifa ya Vijana Serengeti Boys, Ridhiwan KikweteKatibu Mkuu wa TASWA Amir Muhando akizungumza katika mkutano MkuuMwanachama wa Taswa Saleh Ally akichangia mada wakati wa mkutano huo picha na www.burudan.blogspot.com