Skip to content
Habari  | Michezo | Mahusiano | Blog Tanzania
  • Habari
    • Habari za Kimataifa
    • Habari za Uchunguzi
    • Habari za biashara
    • Habari za Vijijini
  • Matukio Katika Picha
  • Burudani
  • Uchambuzi
  • Michezo
    • Matokeo Ya Ligi Kuu Ya Uingereza (English Premier League)
  • Home
  • Waziri Pinda

Tag: Waziri Pinda

Hotuba ya Waziri Mkuu Pinda Akiliahirisha Bunge

Posted on: February 8, 2015April 26, 2015 - jomushi
Post Tags: Ahutubia, Bunge, Dodoma, Waziri Pinda
Hotuba ya Waziri Mkuu Pinda Akiliahirisha Bunge

HOTUBA YA MHESHIMIWA MIZENGO P. PINDA (MB), WAZIRI MKUU WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA, WAKATI WA KUHITIMISHA SHUGHULI ZA MKUTANO WA 18 WA BUNGE…

Continue Reading....

Waziri Pinda Asema Serikali Inatafuta Soko la Utalii UAE

Posted on: December 17, 2014 - jomushi
Post Tags: Dubai, Le Meridien, Soko la Utalii, Waziri Pinda
Waziri Pinda Asema Serikali Inatafuta Soko la Utalii UAE

WAZIRI MKUU Mizengo Pinda amesema Serikali imeamua kutafuta soko la utalii kutoka nchi za Ghuba na Mashariki ya Kati ili kuongeza idadi ya watalii nchini…

Continue Reading....

Pinda Aridhishwa na Ujenzi Miundombinu OUT

Posted on: October 11, 2014 - jomushi
Post Tags: Chuo Kikuu Huria cha Tanzania, OUT, Waziri Pinda
Pinda Aridhishwa na Ujenzi Miundombinu OUT

  WAZIRI Mkuu wa Tanzania, Mizengo Pinda amesema uamuzi wa Serikali wa kukopa fedha ili kuboresha miundombinu kwenye taasisi za elimu ya juu nchini ulichukuliwa…

Continue Reading....

Maprofesa SUA Waomba Kuongezewa Muda wa Kustaafu, Pinda Avutiwa…!

Posted on: October 10, 2014 - jomushi
Post Tags: Chuo Kikuu SUA, Maprofesa, Waziri Pinda
Maprofesa SUA Waomba Kuongezewa Muda wa Kustaafu, Pinda Avutiwa…!

  PROFESA Gerald Monella wa Chuo Kikuu cha Kilimo cha Sokoine (SUA), ameiomba Serikali kuongeza muda wa kustaafu kwa wahadhiri wa vyuo vikuu kwani wanapozeeka…

Continue Reading....

Pinda Awataka ma-RC, DC Kwenda na Kasi ya BRN

Posted on: October 2, 2014 - jomushi
Post Tags: Kasi ya BRN, Waziri Pinda
Pinda Awataka ma-RC, DC Kwenda na Kasi ya BRN

Na Mwandishi Wetu, Dodoma WAZIRI Mkuu, Mizengo Peter Pinda amewataka Wakuu wa Mikoa na Wilaya kuendana na kasi ya Mpango wa MATOKEO Makubwa Sasa (BRN)…

Continue Reading....

Waziri Pinda Asuluhisha Mgogoro Kiwanda cha Chai Mponde

Posted on: September 15, 2014 - jomushi
Post Tags: Mgogoro Kiwanda cha Chai Mponde, Waziri Pinda
Waziri Pinda Asuluhisha Mgogoro Kiwanda cha Chai Mponde

*Ataka iundwe timu ya watu wachache kusimamia kiwanda   WAZIRI Mkuu wa Tanzania, Mizengo Pinda amewataka Wakala wa Wakulima Wadogo wa Chai pamoja na Bodi…

Continue Reading....
thehabari