Skip to content
Habari  | Michezo | Mahusiano | Blog Tanzania
  • Habari
    • Habari za Kimataifa
    • Habari za Uchunguzi
    • Habari za biashara
    • Habari za Vijijini
  • Matukio Katika Picha
  • Burudani
  • Uchambuzi
  • Michezo
    • Matokeo Ya Ligi Kuu Ya Uingereza (English Premier League)
  • Home
  • Wamasai

Tag: Wamasai

Wahadzabe, Wabarabaig na Wmasai Waiomba Serikali Kuwatambua…!

Posted on: November 27, 2015November 27, 2015 - jomushi
Post Tags: Wamasai
Wahadzabe, Wabarabaig na Wmasai Waiomba Serikali Kuwatambua…!

Makamu Mwenyekiti wa Tume ya Haki za Binadamu, Mh. Idd Ramadhan Mapuri (katikati) akizindua taarifa ya Tume ya Afrika ya Haki za Binadamu na Watu…

Continue Reading....

Wamasai Ngorongoro Wasaini Azimio Kumlinda Mtoto wa Kike…!

Posted on: November 18, 2015 - jomushi
Post Tags: Wamasai
Wamasai Ngorongoro Wasaini Azimio Kumlinda Mtoto wa Kike…!

Pichani juu na chini ni baadhi ya viongozi wa mila (Laigwanan na Laiboni) na akina mama mashuhuri (Ngaigwanan) wilayani Lolilondo wakisoma na kujadili azimio la…

Continue Reading....

UNESCO Kutekeleza Mradi Kuinua Bidhaa za Kimasai

Posted on: June 24, 2015 - jomushi
Post Tags: Ngorongoro, UNESCO, Wamasai
UNESCO Kutekeleza Mradi Kuinua Bidhaa za Kimasai

Na Joachim Mushi, Ngorongoro SHIRIKA la Kimataifa la Sayansi, Elimu na Utamaduni (UNESCO) nchini Tanzania linatarajia kutekeleza mradi wa ujenzi wa kituo cha sanaa ikiwa…

Continue Reading....

Viongozi wa Kimasai Waridhia Kuacha Ukeketaji Mbele ya UNESCO

Posted on: June 22, 2015 - jomushi
Post Tags: Ukeketaji, UNESCO, Wamasai
Viongozi wa Kimasai Waridhia Kuacha Ukeketaji Mbele ya UNESCO

Viongozi wa Kimasai Waridhia Kuacha Ukeketaji Na Joachim Mushi, Ngorongoro VIONGOZI wakuu wa jamii ya Kimasai wa Afrika Mashariki wameridhia kuachana na mila potofu zimezopitwa…

Continue Reading....

Wamasai Walia na Uwekezaji Ngorongoro

Posted on: February 10, 2015 - jomushi
Post Tags: Ngorongoro, Uwekezaji, Wamasai
Wamasai Walia na Uwekezaji Ngorongoro

  Kiongozi wa mila tarafa ya Ngorongoro, Augustino Pakai Olonyokei akizungumza na Meneja uendeshaji wa mtandao wa habari wa modewjiblog, Zainul Mzige aliyefika eneo hilo…

Continue Reading....

UNESCO, MWEDO Kuwapelekea Digitali Wamasai Ololosokwan

Posted on: January 28, 2015 - jomushi
Post Tags: Digitali, MWEDO, UNESCO, Wamasai
UNESCO, MWEDO Kuwapelekea Digitali Wamasai Ololosokwan

Mkurugenzi Mtendaji wa asasi ya Maendeleo ya wanawake wa Kimasai (MWEDO),  Ndinini Kimesera (kushoto) akimkaribisha Mkurugenzi Mkazi wa Unesco nchini, Zulmira Rodrigues kwenye ofisi za…

Continue Reading....

Posts navigation

Older posts
thehabari