SERIKALI ya Tanzania imewataka wakimbizi wote ambao walikuwa wanajeshi kutoka nchi walizokuwepo, kuripoti kwenye mamlaka husika ili waweze kupewa uangalizi maalum (special protection) kama wanajeshi. Kauli…
Continue Reading....Tag: Wakimbizi
Wakimbizi 126,000 wa Burundi Wakimbilia Tanzania, UN Yasaidia…!
KATIBU Mkuu wa Umoja wa Mataifa Ban Ki-moon leo ametoa dola za Marekani milioni 100 (US$ 100m, sawa na shilingi za Tanzania bilioni 220) kutoka katika…
Continue Reading....Waziri Mkuu Majaliwa Ateta na Wakimbizi, Azungumzia Ngono Zembe
WAZIRI Mkuu Kassim Majaliwa amewaasa raia wanaokimbia nchi zao na kupata hifadhi Tanzania kutobeba silaha wanapoingia nchini kuja kuishi kwenye kambi za wakimbizi. Ametoa onyo…
Continue Reading....UNHCR: Tanzania ni Kimbilio Salama la Wakimbizi…!
SHIRIKA la Umoja wa Mataifa la Wakimbizi Duniani (UNHCR) limesema kuwa Tanzania imekuwa kimbilio salama la wakimbizi kwa sababu ni nchi salama, ni nchi tulivu,…
Continue Reading....Wakimbizi wa Burundi ‘Wang’ang’ania’ Kurudi Tanzania…!
Mkuu wa Kambi ya Wakimbizi Nyarugusu iliyopo wilayani Kasulu, mkoani Kigoma, Sospeter Christopher Boyo (aliyesimama mwenye shati la kitenge) akisoma taarifa fupi ya Kambi ya…
Continue Reading....UNDP, Waziri Chikawe Watembelea Kambi ya Muda ya Wakimbizi Kigoma
Mratibu Mkazi wa Mashirika ya Umoja wa Mataifa na Mwakilishi wa Shirika la Maendeleo (UNDP), Alvaro Rodriguez (wa pili kushoto) akiongozana na Waziri wa Mambo…
Continue Reading....