Skip to content
Habari  | Michezo | Mahusiano | Blog Tanzania
  • Habari
    • Habari za Kimataifa
    • Habari za Uchunguzi
    • Habari za biashara
    • Habari za Vijijini
  • Matukio Katika Picha
  • Burudani
  • Uchambuzi
  • Michezo
    • Matokeo Ya Ligi Kuu Ya Uingereza (English Premier League)
  • Home
  • TFF

Tag: TFF

TFF Yamuweka Kikaangoni Jerry Muro wa Yanga

Posted on: December 20, 2015 - jomushi
Post Tags: TFF
TFF Yamuweka Kikaangoni Jerry Muro wa Yanga

SHIRIKISHO la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) litamfikisha kwenye Kamati ya Maadlili mapema Mwakani baada ya sikukuu ya mwaka Mpya 2016, Mkuu wa Mawasiliano wa…

Continue Reading....

Kombe la Shirikisho Kuanza Novemba 8

Posted on: November 5, 2015November 5, 2015 - jomushi
Post Tags: TFF

MICHUANO ya Kombe la Shirikisho ya Azam Sports inafunguliwa rasmi Novemba 8, 2015 kwa mechi tatu zitakazochezwa kwenye viwanja vitatu tofauti. Mechi rasmi ya ufunguzi…

Continue Reading....

Taifa Stars Kutimkia Muscat Oman,TFF Yataja Waamuzi

Posted on: August 18, 2015August 18, 2015 - jomushi
Post Tags: Taifa Stars, TFF
Taifa Stars Kutimkia Muscat Oman,TFF Yataja Waamuzi

TIMU ya Taifa ya Tanzania (Taifa Stars) inatarajiwa kuondoka nchini siku ya jumamosi usiku kuelekea Muscat Oman, kucheza mchezo wa kirafiki kabla ya kuunganisha kuelekea…

Continue Reading....

TFF Yamtimu Mart Nooij Stars na Kumtangaza Mkwasa

Posted on: June 23, 2015 - jomushi
Post Tags: Mart Nooij, Mkwasa, TFF
TFF Yamtimu Mart Nooij Stars na Kumtangaza Mkwasa

RAIS wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania – TFF, Jamal Malinzi ameagana rasmi na aliyekua kocha mkuu wa timu ya Taifa ya Tanzania (Taifa…

Continue Reading....

TFF Yazinduwa Jenzi Mpya, Saba Wateuliwa CAF

Posted on: June 4, 2015 - jomushi
Post Tags: Jezi Mpya, TFF

SHIRIKISHO la Mpira wa Miguu nchini TFF leo limezindua jezi mpya za timu za Taifa, zitakazokuwa zikitumika na timu za Taifa katika michuano mbali mbali…

Continue Reading....

Kauli ya Jerry Muro Yamponza, TFF Yampiga Faini Mil. 5

Posted on: May 8, 2015 - jomushi
Post Tags: Jerry Muro, TFF, Yanga SC

KAMATI ya Nidhamu ya Shirikisho la Mpira wa Miguu nchini TFF iliyoketi jumanne tarehe 5 Mei, 2015 imempiga faini ya sh. 5,000,00 (milioni tano), Afisa…

Continue Reading....

Posts navigation

Older posts
thehabari