Skip to content
Habari  | Michezo | Mahusiano | Blog Tanzania
  • Habari
    • Habari za Kimataifa
    • Habari za Uchunguzi
    • Habari za biashara
    • Habari za Vijijini
  • Matukio Katika Picha
  • Burudani
  • Uchambuzi
  • Michezo
    • Matokeo Ya Ligi Kuu Ya Uingereza (English Premier League)
  • Home
  • tanzania
  • Page 14

Tag: tanzania

Tanzania Ipo Tayari Kiushirikiano na UN Kutekeleza MDGs

Posted on: September 26, 2014 - jomushi
Post Tags: MDGs, tanzania, UN
Tanzania Ipo Tayari Kiushirikiano na UN Kutekeleza MDGs

TANZANIA iko tayari kushirikiana na wanachama wote wa Umoja wa Mataifa (UN) kufikia makubaliano ya Malengo ya Maendeleo mapya baada ya Malengo ya Milenia (MDGs)…

Continue Reading....

Rais Kikwete ‘Ajivunia’ Uhuru wa Habari Tanzania Mkutanoni

Posted on: September 25, 2014September 26, 2014 - jomushi
Post Tags: tanzania, Uhuru wa Habari
Rais Kikwete ‘Ajivunia’ Uhuru wa Habari Tanzania Mkutanoni

Na Mwandishi Maalum, New York TANZANIA inatarajiwa kupata sheria ya Uhuru wa kupata Habari ifikapo Mwezi Februari, Mwaka 2015. Rais Jakaya Kikwete amesema hayo Septemba…

Continue Reading....

Etihad Airways Kuongeza Safari Nchini Tanzania

Posted on: September 23, 2014December 20, 2015 - jomushi
Post Tags: Etihad Airways, Safari, tanzania

SHIRIKA la ndege la Etihad Airways litaongeza safari zake barani Afrika kwa kuzindua safari mpya ya kila siku ya mji wa Dar es Salaam. Shirika…

Continue Reading....

Hatuna Tofauti ya Mpaka Kati ya Tanzania na Malawi – Waziri Malawi

Posted on: September 19, 2014September 19, 2014 - jomushi
Post Tags: Malawi, Mipaka, tanzania
Hatuna Tofauti ya Mpaka Kati ya Tanzania na Malawi – Waziri Malawi

Balozi wa Tanzania Nchini Malawi  Patrick Tsere Akizungumza na waandishi wa Habari kutoka Mbeya walipotembelea Ofisi za ubalozi Nchini Malawi. Baadhi ya Waandishi wakimsikiliza Balozi.…

Continue Reading....

Takwimu Zabaini Asilimia 27 ya Watoto Tanzamia Wanatumikishwa

Posted on: September 7, 2014 - jomushi
Post Tags: Takwimu, tanzania, Utumikishaji watoto
Takwimu Zabaini Asilimia 27 ya Watoto Tanzamia Wanatumikishwa

Na Anna Nkinda – Maelezo TAKWIMU zinaonesha kuwa idadi ya watoto wanaotumikishwa Duniani inafikia milioni 169 kati ya hao wapo wenye umri wa miaka mitano,…

Continue Reading....

JWTZ Imechangia Kwa Kiasi Kikubwa Amani ya Tanzania-JK

Posted on: September 7, 2014 - jomushi
Post Tags: Amani, JK, JWTZ, tanzania
JWTZ Imechangia Kwa Kiasi Kikubwa Amani ya Tanzania-JK

RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu, Jakaya Mrisho Kikwete, amelisifia Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) kwa kutaja mafanikio yake…

Continue Reading....

Posts navigation

Older posts
Newer posts
thehabari