Skip to content
Habari  | Michezo | Mahusiano | Blog Tanzania
  • Habari
    • Habari za Kimataifa
    • Habari za Uchunguzi
    • Habari za biashara
    • Habari za Vijijini
  • Matukio Katika Picha
  • Burudani
  • Uchambuzi
  • Michezo
    • Matokeo Ya Ligi Kuu Ya Uingereza (English Premier League)
  • Home
  • tanzania
  • Page 11

Tag: tanzania

Bodi ya Filamu Tanzania Yakomalia Sheria, Kanuni

Posted on: November 13, 2014 - jomushi
Post Tags: Bodi ya Filamu, Mbwa Mwitu, sheria, tanzania
Bodi ya Filamu Tanzania Yakomalia Sheria, Kanuni

Na Benedict Liwenga, Maelezo-DSM BODI ya Filamu Tanzania imezitaka Kampuni za filamu nchini kufuata Sheria na Kanuni mbalimbali wakati wa kutengeneza filamu ili kuepusha ukiukwaji…

Continue Reading....

Wamiliki wa Blogu Tanzania Wateua Kamati ya Muda Kuongoza…!

Posted on: November 11, 2014 - jomushi
Post Tags: Blogu, Kamati, tanzania, Wamiliki
Wamiliki wa Blogu Tanzania Wateua Kamati ya Muda Kuongoza…!

WAMILIKI wa Mitandao ya Kijamii Tanzania wameteua viongozi wa muda ambao watafanya kazi ya kushughulikia usajili wa Chama cha Wamiliki wa Mitandao ya kijamii (Bloggers)…

Continue Reading....

Washindi 100 Kuzawadiwa SamSung Gear S, Kifaa cha Galaxy Note 4

Posted on: October 31, 2014 - jomushi
Post Tags: Galaxy Note 4, SamSung Gear S, tanzania
Washindi 100 Kuzawadiwa SamSung Gear S, Kifaa cha Galaxy Note 4

KAMPUNI ya vifaa vya kieletroniki ya Samsung imezindua kampeni ya kuweka oda kwabidhaa yake mpya ya Galaxy Note 4 nchini Tanzania, ikiwa ni sehemu ya…

Continue Reading....

JK Awapasulia Watumishi wa Umma Tanzania

Posted on: October 30, 2014 - jomushi
Post Tags: JK, tanzania, Watumishi wa umma
JK Awapasulia Watumishi wa Umma Tanzania

Na Mwandishi Maalum, RAIS Jakaya Kikwete amewataka watumishi wa umma nchini kubadilika katika utendaji wao ili kuwa wawezeshaji zaidi badala ya wakwamishaji katika kutoa maamuzi…

Continue Reading....

Wadau Waombwa Kubuni Jezi Mpya ya Taifa Stars, 29 Waitwa Kikosini

Posted on: October 30, 2014 - jomushi
Post Tags: Jezi Mpya, Taifa Stars, tanzania
Wadau Waombwa Kubuni Jezi Mpya ya Taifa Stars, 29 Waitwa Kikosini

SHIRIKISHO la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) linakaribisha wabunifu, kubuni mwonekano wa jezi mpya za timu ya Taifa kwa mechi za nyumbani na ugenini. Ubunifu…

Continue Reading....

Matukio Picha Siku Ilipofanyika ‘Ndoa’ ya UKAWA

Posted on: October 29, 2014October 29, 2014 - jomushi
Post Tags: Ndoa ya UKAWA, tanzania, Vyama vya Siasa
Matukio Picha Siku Ilipofanyika ‘Ndoa’ ya UKAWA

VYAMA vinne vya upinzani nchini, ambavyo ni Chadema, CUF, NCCR Mageuzi na NLD vilisaini makubaliano ya kushirikiana pamoja na kusimamisha mgombea mmoja katika chaguzi zote…

Continue Reading....

Posts navigation

Older posts
Newer posts
thehabari