Skip to content
Habari  | Michezo | Mahusiano | Blog Tanzania
  • Habari
    • Habari za Kimataifa
    • Habari za Uchunguzi
    • Habari za biashara
    • Habari za Vijijini
  • Matukio Katika Picha
  • Burudani
  • Uchambuzi
  • Michezo
    • Matokeo Ya Ligi Kuu Ya Uingereza (English Premier League)
  • Home
  • Taifa Stars

Tag: Taifa Stars

Kipigo cha Taifa Stars: Mkwasa Awashukuru Watanzania

Posted on: November 19, 2015November 22, 2015 - jomushi
Post Tags: Taifa Stars
Kipigo cha Taifa Stars: Mkwasa Awashukuru Watanzania

KOCHA Mkuu wa timuya Taifa ya Tanzania ‘Taifa Stars’, Charles Boniface Mkwasa amewashukuru watanzania kwa kuwapa sapoti katika michezo miwili ya kuwania kufuzu kwa Kombe…

Continue Reading....

Stars Kujaribu Bahati na Algeria, Kibadeni Awaita Kilimanjaro Stars

Posted on: November 16, 2015 - jomushi
Post Tags: Taifa Stars
Stars Kujaribu Bahati na Algeria, Kibadeni Awaita Kilimanjaro Stars

KIKOSI cha timu ya Taifa ya Tanzania ‘Taifa Stars’ kinachodhaminiwa na bia ya Kilimanjaro Premium Lager, kitafanya mazoezi leo jioni saa 1 Algeria, sawa na…

Continue Reading....

Taifa Stars Kutimkia Muscat Oman,TFF Yataja Waamuzi

Posted on: August 18, 2015August 18, 2015 - jomushi
Post Tags: Taifa Stars, TFF
Taifa Stars Kutimkia Muscat Oman,TFF Yataja Waamuzi

TIMU ya Taifa ya Tanzania (Taifa Stars) inatarajiwa kuondoka nchini siku ya jumamosi usiku kuelekea Muscat Oman, kucheza mchezo wa kirafiki kabla ya kuunganisha kuelekea…

Continue Reading....

Mkwasa Atambulishwa Stars, Awaita Wachezaji 26

Posted on: June 24, 2015 - jomushi
Post Tags: Mkwasa, Taifa Stars
Mkwasa Atambulishwa Stars, Awaita Wachezaji 26

KATIBU Mkuu wa Shirikisho la Mpira wa miguu Tanzania (TFF), Mwesigwa Selestine leo amemtambuisha kocha mpya wa timu ya Taifa ya Tanzania (Taifa Stars) Charles…

Continue Reading....

Taifa Stars Yawasili Borg El Arab Misri

Posted on: June 13, 2015 - jomushi
Post Tags: Taifa Stars
Taifa Stars Yawasili Borg El Arab Misri

MSAFARA wa timu ya Taifa ya Tanzania (taifa Stars) inayodhaminiwa na kampuni ya bia ya Kilimanjaro Premium Lager tayari umewasili salama katika eneo la Borg…

Continue Reading....

Taifa Stars Yajifua Addis Ababa

Posted on: June 5, 2015 - jomushi
Post Tags: Addis Ababa, Taifa Stars
Taifa Stars Yajifua Addis Ababa

TIMU ya Taifa ya Tanzania (Taifa Stars) inayodhamini na kampuni ya bia ya Kilimanjaro, leo imeanza mazoezi katika uwanja wa Addis Ababa zamani ukifahamka kama…

Continue Reading....

Posts navigation

Older posts
thehabari