Skip to content
Habari  | Michezo | Mahusiano | Blog Tanzania
  • Habari
    • Habari za Kimataifa
    • Habari za Uchunguzi
    • Habari za biashara
    • Habari za Vijijini
  • Matukio Katika Picha
  • Burudani
  • Uchambuzi
  • Michezo
    • Matokeo Ya Ligi Kuu Ya Uingereza (English Premier League)
  • Home
  • Siasa

Tag: Siasa

Mbunge Halima Mdee Mikononi mwa Polisi Dar…!

Posted on: July 5, 2017 - jomushi
Post Tags: Siasa
Mbunge Halima Mdee Mikononi mwa Polisi Dar…!

  HATIMAYE Jeshi la Polisi Dar es Salaam limemkamata Mbunge wa Kawe, Halima Mdee (Chadema) ikiwa ni kuitikia amri ya Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni,…

Continue Reading....

Masikini Mdee, Polisi Waagizwa Kumkamata Saa 48

Posted on: July 4, 2017 - jomushi
Post Tags: Siasa
Masikini Mdee, Polisi Waagizwa Kumkamata Saa 48

  MKUU wa Wilaya ya Kinondoni, jijini Dar es Salaam, Ally Hapi amelitaka Jeshi la Polisi Tanzania, kumtia ndani Mbunge wa Kawe, Bi. Halima Mdee…

Continue Reading....

Nape Aonja Joto ya Jeshi la Polisi, Wamzuia Kuzungumza na Wanahabari…!

Posted on: March 23, 2017 - jomushi
Post Tags: Siasa
Nape Aonja Joto ya Jeshi la Polisi, Wamzuia Kuzungumza na Wanahabari…!

  ALIYEKUWA Waziri wa Habari, Sanaa, Utamaduni na Michezo, Nape Mnauye leo ameonja joto la jiwe la Jeshi la Polisi jijini Dar es Salaam baada…

Continue Reading....

CCM ni Chuki Visasi…Wapinzani Wakitimuana ‘Wanafukuza Waasi, Wasaliti’

Posted on: March 17, 2017 - jomushi
Post Tags: Siasa
CCM ni Chuki Visasi…Wapinzani Wakitimuana ‘Wanafukuza Waasi, Wasaliti’

Na Daniel Mbega, MaendeleoVijijini JUMAMOSI ya Machi 11, 2017 Chama cha Mapinduzi (CCM) ‘kiliondoa woga’ na kufanya jambo ambalo halikutarajiwa na wengi nchini baada ya kuwatimua baadhi…

Continue Reading....

Shibuda Awataka Watanzania Kumuunga Mkono Rais Magufuli

Posted on: January 31, 2017 - jomushi
Post Tags: Siasa
Shibuda Awataka Watanzania Kumuunga Mkono Rais Magufuli

 Mkutano ukiendelea.  Waandishi wa habari wakiwa kwenye mkutano huo. Mwanahabari Suleiman Msuya akiuliza swali katika mkutano huo.   Na Dotto Mwaibale   WATANZANIA wameombwa kumuunga…

Continue Reading....

Diwani Chadema Atupwa Lupango kwa Kukiuka Maadhimio

Posted on: August 5, 2016August 5, 2016 - jomushi
Post Tags: Siasa
Diwani Chadema Atupwa Lupango kwa Kukiuka Maadhimio

Na Mathias Canal, Singida JESHI la Polisi Wilaya ya Ikungi Mkoani Singida limemtia nguvuni Diwani wa Kata ya Iseke kwa tiketi ya Chama Cha Demokrasia…

Continue Reading....

Posts navigation

Older posts
thehabari