Skip to content
Habari  | Michezo | Mahusiano | Blog Tanzania
  • Habari
    • Habari za Kimataifa
    • Habari za Uchunguzi
    • Habari za biashara
    • Habari za Vijijini
  • Matukio Katika Picha
  • Burudani
  • Uchambuzi
  • Michezo
    • Matokeo Ya Ligi Kuu Ya Uingereza (English Premier League)
  • Home
  • serikali
  • Page 3

Tag: serikali

Serikali Yaahidi Kuisaidia NIDA Kufikia Malengo

Posted on: March 4, 2015 - jomushi
Post Tags: Baraza la Wafanyakazi, NIDA, serikali
Serikali Yaahidi Kuisaidia NIDA Kufikia Malengo

NAIBU Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Pereira Ame Silima leo amefungua kikao cha Baraza la Wafanyakazi wa Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa (NIDA)…

Continue Reading....

Serikali Kutumia Bil 55 Kusambaza Umeme Mbeya Vijijini

Posted on: March 4, 2015 - jomushi
Post Tags: Mbeya Vijijini, serikali, Umeme
Serikali Kutumia Bil 55 Kusambaza Umeme Mbeya Vijijini

  WAZIRI Mkuu Mizengo Pinda amesema Serikali itatumia shilingi bilioni 55 kuvipatia umeme vijiji 244 vya mkoa wa Mbeya kupitia Miradi ya Umeme Vijijini (REA).…

Continue Reading....

Wanasiasa Tanzania Wahusishwa na Mauaji ya Albino!

Posted on: February 26, 2015February 26, 2015 - Rungwe Jr.
Post Tags: Albino, Mauaji, serikali, tanzania
Wanasiasa Tanzania Wahusishwa na Mauaji ya Albino!

Katika makala iliyopewa jina la “Love in a Time of Fear: Albino Women’s Stories From Tanzania”, iliyorushwa kwenye gazeti la intaneti la Huffington Post (tarehe 25/10/2013…

Continue Reading....

Mauaji Haya ya Albino Mpaka Lini?

Posted on: February 26, 2015February 26, 2015 - Rungwe Jr.
Post Tags: Albino, Mauaji, serikali, tanzania
Mauaji Haya ya Albino Mpaka Lini?

      Na Evarist Chahali 25/2/2015   “Tanzania Tanzania, nakupenda kwa moyo wote, Nchi yangu Tanzania, jina lako ni tamu sana Nilalapo nakuwaza wewe,…

Continue Reading....

Serikali Kuajiri Walimu Zaidi ya 35,000

Posted on: February 20, 2015 - jomushi
Post Tags: Ajira, serikali, Walimu
Serikali Kuajiri Walimu Zaidi ya 35,000

WAZIRI Mkuu Mizengo Pinda amesema Serikali imepanga kuajiri walimu zaidi ya 35,000 kwa ajili ya shule za sekondari ili kukabiliana na tatizo la uhaba wa…

Continue Reading....

PAC Yaishauri Serikali Namna ya Kuinusuru TTCL

Posted on: January 30, 2015 - jomushi
Post Tags: Kamati ya PAC, serikali, TTCL
PAC Yaishauri Serikali Namna ya Kuinusuru TTCL

KAMATI ya Bunge ya Hesabu za Serikali (PAC) imetoa mapendekezo ya kuinusuru Kampuni ya Simu Tanzania (TTCL) kutokana na hali mbaya ya kampuni hiyo kifedha…

Continue Reading....

Posts navigation

Older posts
Newer posts
thehabari