Na Frank Mvungi, MAELEZO SERIKALI imeendelea kuimarisha umoja, amani na utulivu miongoni mwa wananchi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania katika kipindi cha miaka kumi.…
Continue Reading....Tag: serikali
Serikali Yahaidi Neema; Tuzo za Filamu 2015
SERIKALI imesema itaendelea kuweka mfumo mzuri na kujenga mazingira mazuri ili kuhakikisha biashara ya filamu inaimarika, ikiwa ni pamoja na kuwavutia wawekezaji binafsi waliopo tayari…
Continue Reading....Uwazi na Uwajibikaji Unawahusu Wote si Serikali tu-JK
Na Joachim Mushi RAIS wa Tanzania, Jakaya Kikwete amesema dhana ya uwazi na uwajibikaji haipaswi kutekelezwa na Serikali pekee, bali inawahusu pia waendeshaji wa asasi…
Continue Reading....Elimu Inayotolewa Sasa Inamuandaa Mwanafunzi Kujitegemea- Serikali
Mkurugenzi Mkazi wa Shirika la Umoja wa Mataifa la Elimu, Sayansi na Utamaduni (UNESCO) Tanzania, Bi. Zulmira Rodrigues akisalimiana na Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri…
Continue Reading....Serikali Kubeba Gharama za Msiba wa Brigedia Hashim Mbita
SERIKALI ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania imepokea kwa masikitiko makubwa taarifa za kifo cha mtumishi wa miaka mingi wa Serikali, Jeshi la Wananchiwa Tanzania…
Continue Reading....Serikali Yaandaa Sheria Kuwalinda Watoa Taarifa za Uhalifu – Mwanasheria Mkuu
SERIKALI imesema inaandaa mswada wa sheria ambayo itawalinda watoaji wa taarifa za masuala ya uhalifu ikiwa ni jitihada za kuimarisha mapambano dhidi ya vitendo mbalimbali…
Continue Reading....