Skip to content
Habari  | Michezo | Mahusiano | Blog Tanzania
  • Habari
    • Habari za Kimataifa
    • Habari za Uchunguzi
    • Habari za biashara
    • Habari za Vijijini
  • Matukio Katika Picha
  • Burudani
  • Uchambuzi
  • Michezo
    • Matokeo Ya Ligi Kuu Ya Uingereza (English Premier League)
  • Home
  • Pinda

Tag: Pinda

Pinda Apiga Marufuku Ukarabati Maabara, Ataka Mpya

Posted on: February 22, 2015February 22, 2015 - jomushi
Post Tags: Maabara, Marufuku, Pinda
Pinda Apiga Marufuku Ukarabati Maabara, Ataka Mpya

WAZIRI Mkuu Mizengo Pinda amepiga marufuku ukarabati wa maabara za shule za sekondari na kusisitiza kwamba ni lazima zijengwe mpya kama ambavyo Serikali ilielekeza. Ametoa…

Continue Reading....

Pinda Amzika Askofu Mstaafu Mwalunyungu Iringa

Posted on: February 20, 2015 - jomushi
Post Tags: Askofu Mwalunyungu, Iringa, Pinda
Pinda Amzika Askofu Mstaafu Mwalunyungu Iringa

WAZIRI Mkuu Mizengo Pinda amewataka Watanzania wasikilize na kufuata mafundisho yanayotolewa na viongozi wa dini ili Tanzania iwe nchi yenye watu waadilifu na wenye hofu…

Continue Reading....

Maagizo ya Waziri Mkuu Pinda Yaendelea Kufanyiwa Kazi na Polisi!

Posted on: January 29, 2015April 26, 2015 - Rungwe Jr.
Post Tags: Bunge, Bungeni, mizengo, Pinda, tanzania, wananchi, Wapigwe, Watanzania
Maagizo ya Waziri Mkuu Pinda Yaendelea Kufanyiwa Kazi na Polisi!

Miezi kadhaa iliyopita waziri Mkuu Pinda alitoa maagizo wakati anazungumza bungeni kwamba Watanzania wataokuwa wanaandamana “wapigwe tu”. Tokea agizo hilo litolewe na mkuu huyu, polisi…

Continue Reading....

Watanzania Wamuomba Pinda Ofisi ya Ubalozi Qatar

Posted on: December 23, 2014 - jomushi
Post Tags: Pinda, Ubalozi Qatar, Watanzania
Watanzania Wamuomba Pinda Ofisi ya Ubalozi Qatar

  WATANZANIA wanaoishi nchini Qatar wameiomba Serikali iangalie uwezekano wa kufungua ofisi ya ubalozi nchini humo ili iwe rahisi kwao kufikisha matatizo yao na pia wawe…

Continue Reading....

Pinda: BRN ni Nguzo ya Mageuzi Kiutendaji

Posted on: November 2, 2014 - jomushi
Post Tags: BRN, Pinda
Pinda: BRN ni Nguzo ya Mageuzi Kiutendaji

  Na Mwandishi Wetu   WAZIRI Mkuu, Mizengo Pinda amesema kuwa Mpango wa Matokeo Makubwa Sasa (BRN) ni chachu ya kuleta mageuzi katika utendaji na…

Continue Reading....

Pinda Azinduwa Toleo la Miaka 50 ya Uhuru wa Tanzania

Posted on: October 24, 2014 - jomushi
Post Tags: Jarida, Pinda, Uhuru wa Tanzania
Pinda Azinduwa Toleo la Miaka 50 ya Uhuru wa Tanzania

*Linatumika kuitangaza Tanzania nje   WAZIRI Mkuu Mizengo Pinda amezindua jarida la kimataifa la FIRST ambalo limesheheni taarifa za kuitangaza Tanzania kwa wadau wa nchi…

Continue Reading....

Posts navigation

Older posts
thehabari