Habari | Michezo | Mahusiano | Blog Tanzania Navigation
  • Habari
    • Habari za Kimataifa
    • Habari za biashara
    • Habari za Vijijini
  • Michezo
    • Matokeo Ya Ligi Kuu Ya Uingereza (English Premier League)
  • Burudani
  • Mawasiliano
  • Matukio Katika Picha
  • Chuo Cha Maisha
  • Vitimbwi Ulimwenguni
  • Habari
    • Habari za Kimataifa
    • Habari za biashara
    • Habari za Vijijini
  • Michezo
    • Matokeo Ya Ligi Kuu Ya Uingereza (English Premier League)
  • Burudani
  • Mawasiliano
  • Matukio Katika Picha
  • Chuo Cha Maisha
  • Vitimbwi Ulimwenguni

Tag Archive

Below you'll find a list of all posts that have been tagged as “Ndoa za Utotoni”

Kampeni ya Kupinga Ndoa za Utotoni Kuzinduliwa Dar

Na Joachim Mushi, Dar es Salaam SERIKALI kupitia Wizara ya Maendeleo ya Jamii Jinsia na Watoto, kwa kushirikiana na mashirika na asasi anuai zinazotetea haki za watoto na jamii kwa ujumla itazinduwa kampeni maalumu za kitaifa za kupinga ndoa za utotoni (National Ending Child Marriage Campaign) ambazo zimekuwa zikikwamisha haki ya elimu kwa mtoto wa kike. Uzinduzi huo utafanika jijini …

Read More
Kampeni KupingaNdoa za UtotoniYazinduliwa Dar

Salma Kikwete Apinga Ndoa za Utotoni na Taasisi ya Segal Family

Na Anna Nkinda – Maelezo, Arusha JAMII imetakiwa kushirikiana kwa pamoja kupiga vita ndoa za utotoni hii ikiwa ni pamoja na kuhakikisha kuwa sera na sheria za kuwalinda watoto zinafuatwa ili watoto wa kike waweze kusoma na kumaliza masomo yao kama ilivyo kwa watoto wa kiume. Mwito huo umetolewa jana na Mke wa Rais Mama Salma Kikwete wakati akizungumza na …

Read More
featuredNdoa za Utotoni
  • Vitimbwi Ulimwenguni
  • TheHabari Team
  • Kuhusu TheHabari
  • Mawasiliano

POWERED BY THE X THEME

Toggle the Widgetbar