Tag: mafuriko
Bonite Bottlers Wawasaidia Waliokumbwa na Mafuriko Wilayani Moshi
Meneja mwajiri wa kampuni ya Bonite Bottlers, Joyce Sengoda akiwasalimia wananchi katika vijiji vya Mikocheni, Kilungu na Chemchem vilivyofikwa na mafuriko hivi karibuni wakati uongozi wa…
Continue Reading....Sababu za Mafuriko Kila Sehemu Dar es Salaam Zatajwa
MVUA zinazoendelea kunyesha nakusababisha mafuriko na hasara kubwa jijini Dar es Salaam na maeneo mengine nchini zimetajwa kuwa ni moja ya ushahidi wa udhaifu wa miundombinu ya kweza…
Continue Reading....Benki ya NMB Yawasaidia Waliokubwa na Mafuriko Moshi
Meneja wa Benki ya NMB kanda ya kaskazini Vicky Bishubo akizungumza wakati wa kukabidhi msaada wa kwa waathirika wa mafuriko yaliyotokea hivi karibuni ukanda wa…
Continue Reading....Mvua Zaua Watano Dar, Mamia Hawana Makazi, Mafuriko Kila Kona…!
MVUA kubwa iliyonyesha kwa siku mbili mfululizo tangu juzi imesababisha vifo vya watu watano huku mamia wakikosa makazi baada ya nyumba zao kubomolewa. Mvua hiyo…
Continue Reading....Mvua Zaleta Mafuriko Maeneo ya Vijijini Mkoani Kilimanjaro
Mafuriko makubwa yamevikumba vijiji saba kikiwemo kiwanda cha sukari cha TPC na kuathiri miundombinu pamoja na makazi ya watu kujaa maji. Mbunge Lucy Owenya akitembelea…
Continue Reading....