FAMILIA ya Bwana William H. Shelukindo, Inasikitika kutangaza kifo cha Bibi Beatrice Matumbo Shelukindo kilichotokea siku ya Jumamosi 2/7/2016 huko Arusha. Mipango ya mazishi inafanyika…
Continue Reading....Tag: kifo
Padre Awataka Waumini Kujiweka Tayari kwa Kifo…!
Na Joachim Mushi, Dar es Salaam PAROKO wa Parokia ya Muhimbili ya Bikira Maria Salama ya Wagonjwa, Padre Ephraim Ogha amewataka Watanzania na hasa waumini…
Continue Reading....Waziri Pinda Ataka Watanzania Kuandika Wosia Kabla ya Kifo
Na Mwandishi Maalum WAZIRI Mkuu wa Tanzania, Mizengo Pinda amewataka Watanzania wote nchini wajenge tabia ya kuandika wosia ili kuondoa matatizo ya mirathi pindi mume…
Continue Reading....Tanzania Yatuma Rambirambi Kifo cha Rais Zambia
RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Jakaya Kikwete ameshtushwa na kusononeshwa sana na taarifa za kifo cha Rais wa Jamhuri ya Zambia, Michael Chilufya…
Continue Reading....Ikulu Yatuma Rambirambi Kifo cha Dk Shija
RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Jakaya Kikwete ameelezea huzuni na masikitiko yake kuomboleza kifo cha aliyekuwa Katibu Mkuu wa Chama cha Mabunge ya…
Continue Reading....Mwanahabari Alfred Ngotezi afariki
TASNIA ya habari Tanzania imepata pigo kubwa baada ya jana kundokewa na mwandishi wa habari mkongwe, Alfred Ngotezi. Taarifa zilizopatikana jana usiku zinaeleza kuwa Ngotezi,…
Continue Reading....