NDEGE za kivita za Jeshi la Kenya zimeshambulia maeneo ya wapiganaji wa kundi la Al-shabaab katika taifa jirani la Somalia, taarifa kutoka jeshi hilo zimesema.…
Continue Reading....Tag: Kenya
Kenya, Tanzania Wamaliza Mvutano wa Marufuku…!
HATIMAYE marais Uhuru Kenyetta wa Kenya na Jakaya Kikwete wa Tanzania wamekubaliana kufutilia mbali maagizo ya Mamlaka ya anga nchini Tanzania kupunguza idadi ya ndege…
Continue Reading....Beach Soccer; Tanzania Kuivaa Kenya, Twiga Kutinga Kambini
TIMU ya Taifa ya Tanzania ya Soka la Ufukweni (Beach Soccer) kesho jumamosi itacheza mchezo wa marudiano dhidi ya timu ya Taifa ya Kenya,…
Continue Reading....Kenya Yaruhusu Magari ya Watalii Tanzania Kuingia Jomo Kenyatta
Na Mwandishi Wetu WAZIRI wa Maliasili na Utalii, Lazaro Nyalandu, amesema Serikali ya Kenya imekubali kuyaruhusu magari ya abiria na watalii kutoka Tanzania, kuingia ndani ya Uwanja…
Continue Reading....Kenya Wavamia Kambi ya Al-Shabaab, Waua Wapiganaji 100
MAKAMO wa Rais wa Kenya, William Ruto, amesema kuwa askari wa usalama wa Kenya wamewaandama wapiganaji wa Al-Shabaab hadi kwenye kambi yao nchini Somalia, baada…
Continue Reading....Sauti Sol wa Kenya Ndani ya Beauty na Music Night
Kundi la muziki kutoka nchini Kenya Sauti Sol waking’ara kwenye Red Carpet mwishoni mwa juma kwenye BEAUTY and MUSIC Night uliofanyika kwenye fukwe za Escape…
Continue Reading....