Msajili wa Hazina, Laurence Mafuru (wa kwanza kulia) akimkabidhi Mwenyekiti wa Bodi ya TTCL, Profesa Tolly Mbwete (katikati) hati ya mauzo ya hisa asilimia 35…
Continue Reading....Tag: Kampuni TTCL
TTCL Yazaliwa Upya, Yazinduwa Nembo Mpya na 4G LTE
KAMPUNI ya Simu Tanzania (TTCL) imefanya mabadiliko ya nembo yake pamoja na kuzinduwa huduma ya mtandao wa kisasa wa 4G LTE ikiwa ni muendelezo wa…
Continue Reading....Kamati ya PIC Yaitaka Serikali Kuisaidia TTCL Ijiendeshe Kibiashara
KAMATI ya Bunge ya Uwekezaji na Mitaji ya Umma (PIC) imeitaka Serikali kutekeleza kwa vitendo ahadi zake za kuiwezesha Kampuni ya Simu Tanzania (TTCL) kujiendesha…
Continue Reading....Waziri Profesa Mbarawa Aipongeza Kampuni ya TTCL
WAZIRI wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Profesa Makame Mnyaa Mbarawa, ameipongeza Kampuni ya simu TTCL kwa juhudi inazofanya katika kutoa huduma za Mawasiliano nchini na…
Continue Reading....Ofisa Uhusiano TTCL Afariki Dunia
OFISA Uhusiano wa Kampuni ya Simu Tanzania (TTCL), Bi. Amanda Fredrick Luhanga, amefariki dunia ghafla usiku wa kuamkia Jumamosi Februari 27, 2016. Taarifa ya kifo…
Continue Reading....TTCL Yakanusha Kudukuliwa, Yasema Mfumo wa Mawasiliano Upo Salama
KAMPUNI ya Simu Tanzania (TTCL) imekanusha taarifa zinazosambaa mitandaoni kuwa mfumo wa mawasiliano wa kampuni hiyo umeingiliwa na wadukuzi. Taarifa iliyotolewa leo kwa vyombo vya…
Continue Reading....