Skip to content
Habari  | Michezo | Mahusiano | Blog Tanzania
  • Habari
    • Habari za Kimataifa
    • Habari za Uchunguzi
    • Habari za biashara
    • Habari za Vijijini
  • Matukio Katika Picha
  • Burudani
  • Uchambuzi
  • Michezo
    • Matokeo Ya Ligi Kuu Ya Uingereza (English Premier League)
  • Home
  • Kampeni Chadema

Tag: Kampeni Chadema

Lowassa Apewa Hati ya Ushujaa Mkoani Mara…!

Posted on: October 10, 2015 - jomushi
Post Tags: Kampeni Chadema
Lowassa Apewa Hati ya Ushujaa Mkoani Mara…!

Vijana wa Mjini Tarime wakiongoza mapokezi ya Mgombea Urais wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kupitia mwamvuli wa UKAWA, Edward Lowassa, alipowasili mjini Tarime…

Continue Reading....

Lowassa Awataka Watanzania Kuchangamkia Ajira EAC

Posted on: October 8, 2015 - jomushi
Post Tags: Kampeni Chadema
Lowassa Awataka Watanzania Kuchangamkia Ajira EAC

WATANZANIA wametakiwa kujifunza kuchangamkia fursa za ajira zinazotolewa na Afrika Mashariki kama ilivyo kwa nchi nyingine.   Kauli hiyo ilitolewa jana na mgombea wa Urais…

Continue Reading....

Edward Lowassa Atuwa na Chopa Monduli, Ajinadi…!

Posted on: October 5, 2015October 6, 2015 - jomushi
Post Tags: Kampeni Chadema
Edward Lowassa Atuwa na Chopa Monduli, Ajinadi…!

 Umati wa Wananchi wa Mji wa Monduli ambako ni Nyumbani kwa Mgombea Urais wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kupitia mwamvuli wa UKAWA, Edward…

Continue Reading....

Lowassa Arejea Dar, Juma Duni Ainadi Chadema Kilwa

Posted on: September 29, 2015 - jomushi
Post Tags: Kampeni Chadema
Lowassa Arejea Dar, Juma Duni Ainadi Chadema Kilwa

 Msafara wa Mgombea Urais wa Tanzania wa UKAWA kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Edward Lowassa, ukichanja mbuga kutokea jijini Tanga kuelekea jijini Dar…

Continue Reading....

Wagombea Udiwani Moshi Mjini CHADEMA Wajitambulisha

Posted on: September 6, 2015September 6, 2015 - jomushi
Post Tags: Kampeni Chadema
Wagombea Udiwani Moshi Mjini CHADEMA Wajitambulisha

  Mkutano wa Hadhara wa Kampeni wa Utamburisho wa wagombea wa Udiwani katika jimbo la Moshi mjini. Mgombea wa nafasi ya Udiwani kwa tiketi ya…

Continue Reading....

Mgombea Urais wa Chadema Lowassa Ahutubia Mafinga Mjini

Posted on: August 31, 2015 - jomushi
Post Tags: Kampeni Chadema
Mgombea Urais wa Chadema Lowassa Ahutubia Mafinga Mjini

Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungani wa Tanzania katika mwamvuli wa UKAWA kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Mh. Edward Lowassa akisalimiana na Waziri…

Continue Reading....
thehabari