Skip to content
Habari  | Michezo | Mahusiano | Blog Tanzania
  • Habari
    • Habari za Kimataifa
    • Habari za Uchunguzi
    • Habari za biashara
    • Habari za Vijijini
  • Matukio Katika Picha
  • Burudani
  • Uchambuzi
  • Michezo
    • Matokeo Ya Ligi Kuu Ya Uingereza (English Premier League)
  • Home
  • hospitali

Tag: hospitali

Dk Kigwangalla Aipandisha Hadhi Zahanati ya Msoga Kuwa ya Wilaya

Posted on: March 14, 2016 - jomushi
Post Tags: hospitali
Dk Kigwangalla Aipandisha Hadhi Zahanati ya Msoga Kuwa ya Wilaya

  SERIKALI kupitia Wizara ya Afya, Ustawi wa Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto imeipa hadhi ya kuwa Hospitali Wilaya iliyokuwa Zahanati ya Msoga ambayo tayari imekamilisha…

Continue Reading....

Dk Kingwangalla Aipa Hospitali ya Kanda Siku 60 Kununua CT-Scan

Posted on: February 13, 2016 - jomushi
Post Tags: hospitali
Dk Kingwangalla Aipa Hospitali ya Kanda Siku 60 Kununua CT-Scan

NAIBU Waziri wa Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Dk. Hamisi Kingwangalla amefanya ziara, Februari 12, 2016 katika Hospitali ya Kanda…

Continue Reading....

Madaktari Hospitali ya Wanawake na Watoto Australia Waitamani Tanzania

Posted on: July 29, 2015 - jomushi
Post Tags: hospitali, wanawake, Watoto
Madaktari Hospitali ya Wanawake na Watoto Australia Waitamani Tanzania

Na Mwandishi wetu – Canberra, Australia WAFANYAKAZI wa Hospitali ya wanawake na watoto ya Centenary ya mjini Canberra wameonyesha nia ya kufanya kazi nchini Tanzania…

Continue Reading....

Apollo Wavuna Viungo 23 vya Binadamu Waliojitolea

Posted on: May 15, 2015 - jomushi
Post Tags: Apollo, Binadamu, hospitali
Apollo Wavuna Viungo 23 vya Binadamu Waliojitolea

KAMA watoa huduma za afya wanaoongoza barani Asia Hospitali za Apollo zimekuwa maarufu na kukubalika kwa mafanikio yake kitabibu na kujitoa kwake katika kuboresha maisha…

Continue Reading....

Wagonjwa Walazwa Chini Hospitali ya Temeke!

Posted on: May 4, 2014May 4, 2014 - Rungwe Jr.
Post Tags: afya, hospitali, temeke, wagonjwa
Wagonjwa Walazwa Chini Hospitali ya Temeke!

Bango la hospitali ya Temeke, linalo onyesha utaratibu wa kuona wagonjwa kama lilivyonaswa na Mpiga picha wetu. Ndugu ambaye hakufahamika jina lake, akiongea na mgonjwa…

Continue Reading....

Mgonjwa wa Akili Aamua Kujenga Makazi Yake Nje ya Hospitali ya Magomeni!

Posted on: April 23, 2014April 23, 2014 - Rungwe Jr.
Post Tags: akili, hospitali, magomeni, mgonjwa, wagonjwa
Mgonjwa wa Akili Aamua Kujenga Makazi Yake Nje ya Hospitali ya Magomeni!

Tatizo sio tu kwamba Mgonjwa huyo ameamua kujenga nyumba yake nje ya hospitali na Mamlaka husika kumuacha apete, bali pia nyumba yenyewe kama inavyoonekana kwenye…

Continue Reading....
thehabari