WATAFITI katika Chuo Kikuu cha Sayansi na Tiba cha Temple, Marekani wamegundua dawa ya kuangamiza Virusi Vya Ukimwi (VVU) ambayo ni ya uhakika zaidi ukilinganisha…
Continue Reading....Tag: featured
Hadhi ya Tanzania Yapanda Katika Benki ya Afrika
TANZANIA imepandishwa hadhi katika Benki ya Maendeleo ya Afrika (AfDB) na sasa inaweza kupata mikopo mikubwa zaidi na yenye hadhi kubwa zaidi kuliko huko nyuma.…
Continue Reading....Mtandao wa Wanawake na Katiba Wawanoa Wajumbe Bunge Maalum
Na Joachim Mushi MTANDAO wa Wanawake na Katiba nchini Tanzania umewakutanisha baadhi ya Wajumbe wa Bunge Maalum la Katiba pamoja na Wajumbe wa Mtandao wa…
Continue Reading....JK Mgeni Rasmi Siku ya Mashujaa
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Jakaya Kikwete anatarajiwa kuwa mgeni rasmi katika maadhimisho ya kumbukumbu ya Siku ya Mashujaa itakayofanyika kitaifa katika…
Continue Reading....Rais Mstaafu Mwinyi Awaasa Watanzania
Na Aron Msigwa – MAELEZO RAIS mstaafu wa Awamu ya Pili, Ali Hassan Mwinyi, amewataka Watanzania kuwa makini kwa kutoruhusu tofauti za dini zilizopo nchini…
Continue Reading....Rais Kikwete Awang’ang’ania Wezi Vyama vya Ushirika
RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Jakaya Mrisho Kikwete amesema kuwa Serikali yake haitalipa madeni ambayo baadhi ya Vyama vya Ushirika nchini vinadaiwa na…
Continue Reading....