Skip to content
Habari  | Michezo | Mahusiano | Blog Tanzania
  • Habari
    • Habari za Kimataifa
    • Habari za Uchunguzi
    • Habari za biashara
    • Habari za Vijijini
  • Matukio Katika Picha
  • Burudani
  • Uchambuzi
  • Michezo
    • Matokeo Ya Ligi Kuu Ya Uingereza (English Premier League)
  • Home
  • featured
  • Page 8

Tag: featured

Tusikubali Kugeuzwa Mtaji na Wanasiasa – Mizengo Pinda

Posted on: July 28, 2014 - jomushi
Post Tags: featured, Tusikubali kugeuzwa mtaji
Tusikubali Kugeuzwa Mtaji na Wanasiasa – Mizengo Pinda

  WAZIRI Mkuu wa Tanzania, Mizengo Pinda amewaonya Watanzania kuwa makini na watu wanaotumia rushwa ili kupata nafasi za uongozi na hasa kwenye uchaguzi mkuu…

Continue Reading....

KATIBA MPYA: Wassira, Lipumba, Lissu ‘Wanyukana’

Posted on: July 28, 2014 - jomushi
Post Tags: featured, Katiba Mpya mnyukano
KATIBA MPYA: Wassira, Lipumba, Lissu ‘Wanyukana’

WAZIRI wa Nchi Ofisi ya Rais, Uhusiano na Uratibu, Stephen Wassira akiwakilisha CCM, Mbunge wa Singida Mashariki, Tundu Lissu na Mwenyekiti wa CUF, Profesa Ibrahim…

Continue Reading....

Wanafunzi Waalimu Watakiwa Kuvaa Nadhifu

Posted on: July 27, 2014 - jomushi
Post Tags: featured, Wanafunzi Waalimu Watakiwa Kuvaa Nadhifu
Wanafunzi Waalimu Watakiwa Kuvaa Nadhifu

Na Anna Nkinda – Maelezo, Nachingwea WANAFUNZI wa kike wa vyuo vya ualimu nchini wametakiwa kuvaa mavazi nadhifu yanayoendana na maadili ya kazi yao ili wanafunzi na jamii…

Continue Reading....

Bunge la Katiba Litaendelea Hata Bila Ukawa – Samuel Sitta

Posted on: July 26, 2014 - jomushi
Post Tags: Bunge la Katiba Litaendelea, featured
Bunge la Katiba Litaendelea Hata Bila Ukawa – Samuel Sitta

Na Winner Abraham na Rose Masaka – MAELEZO, Dar es salaam MWENYEKITI wa Bunge Maalum la Katiba Samuel Sitta, amesema kuwa Mkutano wa Bunge hilo, utaendelea…

Continue Reading....

Kampuni ya TTCL Yatoa Zawadi ya Eid El Fitr kwa Yatima Dar

Posted on: July 25, 2014 - jomushi
Post Tags: featured, Kampuni ya TTCL Yatoa Zawadi ya Eid El Fitr
Kampuni ya TTCL Yatoa Zawadi ya Eid El Fitr kwa Yatima Dar

KAMPUNI ya Simu Tanzania (TTCL) imetoa msaa wa vyakula kwa vituo vitatu vya kulelea watoto yatima na wanaoishi katika mazingira magumu vya jijini Dar es…

Continue Reading....

Wajumbe Bunge Maalum Kupigania Usawa na Mgawanyo wa Rasilimali

Posted on: July 25, 2014 - jomushi
Post Tags: featured, Wajumbe Bunge Maalum Kupigania Usawa na Mgawanyo wa Rasilimali
Wajumbe Bunge Maalum Kupigania Usawa na Mgawanyo wa Rasilimali

Na Joachim Mushi WAJUMBE wa Bunge Maalumu la Katiba walioshiriki katika mkutano wa majadiliano uliondaliwa na Mtandao wa Wanawake na Katiba wameahidi kupaza sauti kupigania…

Continue Reading....

Posts navigation

Older posts
Newer posts
thehabari