Na Mwandishi Wetu, Dar KWA watumishi wa umma uanzishwaji wa Watumishi Housing Company (WHC) ambao ni mpango wa makazi kwa watumishi wa umma ni mkombozi…
Continue Reading....Tag: featured
Watoto Wadaiwa Kumnyonga Mwenzao na Mumning’iniza Mtini
WAKAZI wa Kijiji cha Masusu, Kata ya Gisambalang wilayani Hanang’ katika Mkoa wa Manyara wamepatwa na mshtuko kutokana na tukio lenye utata la kuuawa mtoto…
Continue Reading....Kikwete Nyota wa Demokrasia Afrika 2014, Apewa Tuzo
Na Mwandishi Maalum RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Jakaya Mrisho Kikwete kwa mara nyingine ametunukiwa tuzo la kimataifa – zamu hii kwa kuwa…
Continue Reading....Ajali ya Basi la Morobest na Rori Yaua 17 na Kujerui 56
WATU 17 wamefariki dunia na wengine zaidi ya 56 kujeruhiwa katika ajali iliyohusisha basi la Morobest namba za usajili T258 AHV lililokuwa likitokea Mpwapwa kuelekea…
Continue Reading....Mabosi IMTU Mapanda Kizimbani, DPP Awafutia Mashtaka
SAKATA la kutupwa kwa viungo vya binadamu bila kufuata utaratibu jana liligeuka sinema wakati maofisa wanne wa Chuo Kikuu cha Tiba na Teknolojia (IMTU), walipofikishwa…
Continue Reading....Matumizi ya Tiketi Mtandao; SUMATRA Waiumbua CHAKUA
Rose Masaka – MAELEZO Dar es Salaam MAMLAKA ya Udhibiti wa Usafirishaji Majini na Nchi Kavu (SUMATRA) imepinga kwamba haiwezi kuwalazimisha abiria wa mikoani kutumia…
Continue Reading....