UINGEREZA inajivunia kuwa nchi inayoongoza katika uwekezaji nchini Tanzania na itaendelea kuisaidia Tanzania katika jitihada zake za kiuchumi na kuleta maendeleo. Waziri Mkuu wa Uingereza…
Continue Reading....Tag: featured
Serikali Yatatua Kero ya Maji Kijijini Ngoyoni Rombo
Yohane Gervas, Rombo WAKAZI wa Kijiji cha Ngoyoni Kata ya Ngoyoni Tarafa ya Mengwe, Wilaya ya Rombo mkoani Kilimanjaro wameipongeza Serikali wilayani humo kwa kuwaondolea…
Continue Reading....Mlipuko waua watu 6 katikati ya jiji la Nairobi.
Mlipuko katika eneo ambalo ni maarufu kwa watu wenye asili ya kisomali umeua watu 6 na wengine kadhaa wamejeruhiwa. Mlipuko huo umetokea siku ya Jumatatu,…
Continue Reading....Tanzania, Uganda may become new Russian military sale markets in Africa
Director of the Federal Service for Military-Technical Cooperation noted that new partners were mainly interested in helicopters “for shipments and fight against all modern threats”…
Continue Reading....Wafanyakazi wa Wizara ya Viwanda Wapewa somo
WafanyakaziwaWizarayaViwandanaBiasharawametakiwakuongezajuhudinaubunifukatikautendajiwakaziilikuiwezeshaWizarahiyokufikiamalengoyakeiliyojiwekea. WitohuoumetolewanaWaziriwaViwandanaBiasharaMhe.DktAbdallahKigoda, wakatiakifunguaMkutanowaBaraza la WafanyakaziwaWizarahiyounaofanyikakwasikumbiliJijini Dar Es Salaam. Dkt. Kigodaamesema, WizarayaViwandanaBiasharainajukumukubwakatikakuboreshaUchumiwaNchihivyowafanyakazihawanabudikufanyakazikwabidiinaubunifuilikuiwezeshaWizarakupatamatokeoyaliyokusudiwa. “Fanyenikazikwabidii, kwamaarifanaubunifumkubwa. Epukeniuzembe, ukiritimbausionasababuzamsinginazaidiyayote, tujitangazeiliUmmaufahamukikamilifujitihadazetukatikakukuzauchumi’’. AwaliakimkaribishaMhWaziri, KatibuMkuuwaWizarahiyoBwUlediMussaamesema, UongoziwaWizarahiyoutaendeleakufanyajitihadazakuboreshamaslahiyawafanyakazi, mazingirayakufanyiakazinakuondoakerombalimbalimbalizinzowakwazawatumishi. Kwaupande wake MtoamadakatikaMkutanohuo Bi HonestaNgollykutokaambaeniAfisaElimuKazikutokaTumeyasUsuluhishinaUamuzi…
Continue Reading....Rais Kikwete Aanza Ziara Rasmi Uingereza
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Jakaya Mrisho Kikwete amewasili mjini London, Uingereza, kwa ziara rasmi ya siku tatu ya kidola, moja ya ziara…
Continue Reading....