Skip to content
Habari  | Michezo | Mahusiano | Blog Tanzania
  • Habari
    • Habari za Kimataifa
    • Habari za Uchunguzi
    • Habari za biashara
    • Habari za Vijijini
  • Matukio Katika Picha
  • Burudani
  • Uchambuzi
  • Michezo
    • Matokeo Ya Ligi Kuu Ya Uingereza (English Premier League)
  • Home
  • featured
  • Page 48

Tag: featured

Makamu wa Rais Dk Bilal, Magufuli, RC Dar na Kova Wanusurika Kifo Ajali ya Helkopita

Posted on: April 13, 2014April 13, 2014 - jomushi
Post Tags: ajali, featured
Makamu wa Rais Dk Bilal, Magufuli, RC Dar na Kova Wanusurika Kifo Ajali ya Helkopita

Na Mwandishi Wetu MAKAMU wa Rais Dk. Mohamed Gharib Bilal, Waziri wa Ujenzi, Dk.John Magufuli, Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Meck Sadiki pamoja…

Continue Reading....

Dk Mukangala Aipongeza NSSF Kuviunganisha Vyombo vya Habari

Posted on: April 12, 2014 - jomushi
Post Tags: featured, michezo mpira
Dk Mukangala Aipongeza NSSF Kuviunganisha Vyombo vya Habari

Na Joachim Mushi, Dar es Salaam WAZIRI wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo, Dk. Fenella Mukangala amelipongeza Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF)…

Continue Reading....

Mvua Yazua Maafa Dar es Salaam, Yafunga Barabara na Kufunika Nyumba

Posted on: April 12, 2014 - jomushi
Post Tags: featured, maafa
Mvua Yazua Maafa Dar es Salaam, Yafunga Barabara na Kufunika Nyumba

Na Joachim Mushi, Dar es Salaam MVUA iliyonyesha mfululisho tangu jana maeneo mbalimbali ya Jiji la Dar es Salaam imeleta patashika kwa baadhi ya maeneo…

Continue Reading....

Biashara ya Figo Yashamiri Nchini Tanzania

Posted on: April 12, 2014 - jomushi
Post Tags: featured, Figo
Biashara ya Figo Yashamiri Nchini Tanzania

KATIKA kile kinachoonekana kukithiri kwa hali ngumu ya maisha, baadhi ya Watanzania wameanza biashara ya kuuza figo zao kwa gharama kubwa kwa watu wenye mahitaji…

Continue Reading....

Basi la Smart Lapata Ajali Eneo la Lugoba…!

Posted on: April 12, 2014 - jomushi
Post Tags: ajali, featured
Basi la Smart Lapata Ajali Eneo la Lugoba…!

Basi la smart likiwa limepinduka baada ya kupata ajali eneo la Lugoba Mmoja wa majeruhi wa ajali hiyo akiwa amepoteza fahamu baada ya kupata mshtuko…

Continue Reading....

AMREF Wampa Tuzo ya Ubalozi Mama Salma Kikwete

Posted on: April 12, 2014 - jomushi
Post Tags: featured, Salma Kikwete
AMREF Wampa Tuzo ya Ubalozi Mama Salma Kikwete

Na Anna Nkinda – Maelezo MKE wa Rais Mama Salma Kikwete ametunukiwa tuzo ya kuwa balozi wa kampeni ya Simama kwa ajili ya mwanamke wa…

Continue Reading....

Posts navigation

Older posts
Newer posts
thehabari