Skip to content
Habari  | Michezo | Mahusiano | Blog Tanzania
  • Habari
    • Habari za Kimataifa
    • Habari za Uchunguzi
    • Habari za biashara
    • Habari za Vijijini
  • Matukio Katika Picha
  • Burudani
  • Uchambuzi
  • Michezo
    • Matokeo Ya Ligi Kuu Ya Uingereza (English Premier League)
  • Home
  • featured
  • Page 47

Tag: featured

Rais Kikwete Atoa Hati ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar kwa Wanahabari

Posted on: April 15, 2014April 16, 2014 - jomushi
Post Tags: featured, Hati ya Muungano
Rais Kikwete Atoa Hati ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar kwa Wanahabari

KATIBU Mkuu Kiongozi, Balozi Ombeni Sefue amekutana na vyombo vya habari na kuonesha kwa waandishi wa habari hati halisi ya Muungano Ikulu jijini Dar es…

Continue Reading....

Tanzania Kuadhimisha Wiki ya Elimu

Posted on: April 15, 2014April 16, 2014 - jomushi
Post Tags: elimu, featured
Tanzania Kuadhimisha Wiki ya Elimu

Na Mwandishi Wetu KATIKA kutekeleza Mpango wa Matokeo Makubwa Sasa (BRN) katika sekta ya Elimu, Serikali itawazawadia wanafunzi na shule zilizofanya vyema katika mitihani ya…

Continue Reading....

Ikulu Yatoa Pole Kifo cha Muhidini Gurumo

Posted on: April 15, 2014April 17, 2014 - jomushi
Post Tags: featured, Muhidini Gurumo
Ikulu Yatoa Pole Kifo cha Muhidini Gurumo

RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Jakaya Mrisho Kikwete amemtumia salamu za rambirambi Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo, Dk. Fenella Mukangara…

Continue Reading....

Mafuriko Dar Yaua Watu Nane, Polisi Watumia Mbwa Kusaka Miili Zaidi…!

Posted on: April 13, 2014 - jomushi
Post Tags: featured, maafa
Mafuriko Dar Yaua Watu Nane, Polisi Watumia Mbwa Kusaka Miili Zaidi…!

Na Joachim Mushi, Dar es Salaam MVUA Kubwa inayoendelea kunyesha jijini Dar es Salaam ambayo imesababisha mafuriko imeua zaidi ya watu nane maeneo mbalimbali yaliyokubwa…

Continue Reading....

Wizara ya Afya Yaandaa Mpango wa Matibabu kwa Watanzania Wote

Posted on: April 13, 2014 - jomushi
Post Tags: featured, Wizara ya Afya
Wizara ya Afya Yaandaa Mpango wa Matibabu kwa Watanzania Wote

Na Magreth Kinabo, Dodoma   SERIKALI iko katika mchakato kuandaa Mkakati wa Kitaifa wa Ugharamiaji Huduma za Afya kwa wananchi ili kuhakikisha kila Mtanzania anapata…

Continue Reading....

Mradi wa SECO Wazinduliwa Mkoani Arusha

Posted on: April 13, 2014 - jomushi
Post Tags: featured
Mradi wa SECO Wazinduliwa Mkoani Arusha

MRADI wa kuunganisha sekta za Wazalishaji matunda, mbogamboga na wenye hoteli (SECO)unaofadhiliwa na Serikali ya Switzerland umezinduliwa Jijini Arusha. Mradi huo ambao lengo lake kuu…

Continue Reading....

Posts navigation

Older posts
Newer posts
thehabari