Skip to content
Habari  | Michezo | Mahusiano | Blog Tanzania
  • Habari
    • Habari za Kimataifa
    • Habari za Uchunguzi
    • Habari za biashara
    • Habari za Vijijini
  • Matukio Katika Picha
  • Burudani
  • Uchambuzi
  • Michezo
    • Matokeo Ya Ligi Kuu Ya Uingereza (English Premier League)
  • Home
  • featured
  • Page 41

Tag: featured

Waziri wa Fedha Awataka Wafanyakazi Wizara Yake Kujituma

Posted on: April 28, 2014 - jomushi
Post Tags: featured, Wizara ya Fedha
Waziri wa Fedha Awataka Wafanyakazi Wizara Yake Kujituma

Na Eleuteri Mangi – MAELEZO WAFANYAKAZI wa Wizara ya Fedha wametakiwa kufanyakazi kwa bidii na kujituma kwa moyo wote ili kukuza uchumi wa nchi na…

Continue Reading....

Viongozi Maarufu 40 Afrika Washiriki Sherehe za Muungano Tanzania…!

Posted on: April 26, 2014 - jomushi
Post Tags: featured, Sherehe za Muungano
Viongozi Maarufu 40 Afrika Washiriki Sherehe za Muungano Tanzania…!

Na Joachim Mushi, Dar es Salaam ZAIDI ya viongozi maarufu 40 kutoka nchi mbalimbali za Bara la Afrika na nje ya bara la Afrika wakiwemo…

Continue Reading....

‘Ushirikina’ Wakwamisha Mapambano ya Mimba kwa Wanafunzi Mbeya Vijijini

Posted on: April 26, 2014April 26, 2014 - jomushi
Post Tags: featured, Mimba kwa Wanafunzi
‘Ushirikina’ Wakwamisha Mapambano ya Mimba kwa Wanafunzi Mbeya Vijijini

Na Joachim Mushi, Mbeya Vijijini VITISHO na hofu ya vitendo vya ushirikina imebainika kuwa vikwanzo vya mapambano ya baadhi ya watu wanaowatia mimba wanafunzi wa…

Continue Reading....

Rais Kikwete Awataka Ukawa Warudi Bungeni, Awataka Wajumbe Kuacha Matusi

Posted on: April 26, 2014 - jomushi
Post Tags: featured, Raisi Kikwete
Rais Kikwete Awataka Ukawa Warudi Bungeni, Awataka Wajumbe Kuacha Matusi

Na Joachim Mushi RAIS wa Tanzania, Jakaya Kikwete amewataka wajumbe wa Bunge la Katiba wanaounda kundi la UKAWA waliogoma kuendelea na majadiliano ya kuandaa katiba…

Continue Reading....

Mahafali ya Pili Chuo cha Mafunzo ya Jinsia Tanzania Yafanyika

Posted on: April 25, 2014April 27, 2014 - jomushi
Post Tags: featured, Mahafali Chuo
Mahafali ya Pili Chuo cha Mafunzo ya Jinsia Tanzania Yafanyika

Na dev.kisakuzi.com, Dar es Salaam MAHAFALI ya pili ya Chuo cha Mafunzo ya Jinsia (GTI) yamefanyika leo jijini Dar es Salaam kwenye ukumbi wa mikutano…

Continue Reading....

Wanavijiji Mbeya Walaumiana Udhibiti wa Mimba kwa Wanafunzi

Posted on: April 25, 2014 - jomushi
Post Tags: featured, Mimba kwa Wanafunzi
Wanavijiji Mbeya Walaumiana Udhibiti wa Mimba kwa Wanafunzi

Na Joachim Mushi, Mbeya Vijijini WANAVIJIJI wa vijiji vya Shibolya, Usoha Njiapanda, Simambwe, Ikhoho na Ilembo Usafwa vyote vya wilayani Mbeya Vijijini wametupiana lawama kuhusiana…

Continue Reading....

Posts navigation

Older posts
Newer posts
thehabari