TIMU ya Vijana ya Mpira wa Miguu ya Que Bac ya Mbagala Kipati jijini Dar es Salaam jana imeibuka bingwa wa Mashindano ya Mbagala Cup…
Continue Reading....Tag: featured
Wanawake Madereva Sasa Hatarini Arusha
 
							
		
		WANAWAKE wanaoendesha magari katika Jiji la Arusha, wamekumbwa na hofu kutokana na kuibuka watu wasiojulikana ambao wanawashambulia kwa risasi. Washambuliaji hao ambao hutumia pikipiki, katika…
Continue Reading....Wabunge CCM Wameguka Katiba Mpya…!
CHAMA Cha Mapinduzi (CCM), kimeanza kumeguka baada ya baadhi ya wabunge wake ambao ni Wajumbe wa Bunge Maalumu la Katiba, kuunga mkono kauli ya Naibu…
Continue Reading....Rais Kikwete Atembelea Maktaba ya Kirais ya Rais Bush
RAIS Jakaya Mrisho Kikwete na Mama Salma Kikwete wakitembelea Maktaba ya Kirais ya Rais Bush (Bush Presidential Library) na kujionea nafasi kubwa iliyotolewa kwa Tanzania na…
Continue Reading....
 
			 
			 
			 
			