Skip to content
Habari  | Michezo | Mahusiano | Blog Tanzania
  • Habari
    • Habari za Kimataifa
    • Habari za Uchunguzi
    • Habari za biashara
    • Habari za Vijijini
  • Matukio Katika Picha
  • Burudani
  • Uchambuzi
  • Michezo
    • Matokeo Ya Ligi Kuu Ya Uingereza (English Premier League)
  • Home
  • featured
  • Page 39

Tag: featured

Mama Salma Kikwete, Waziri wa Afya Wageni Rasmi Maadhimisho ya Siku ya Wakunga

Posted on: May 2, 2014 - jomushi
Post Tags: featured, Siku ya Wakunga
Mama Salma Kikwete, Waziri wa Afya Wageni Rasmi Maadhimisho ya Siku ya Wakunga

MKE wa Rais wa Tanzania, Mama Salma Kikwete pamoja na Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii, Dk Seif Rashid wanatarajiwa kuwa wageni rasmi katika…

Continue Reading....

AZAM FC Wampelekea Rais Kikwete Kombe…!

Posted on: May 2, 2014 - jomushi
Post Tags: Azam FC, featured, Mabingwa wapya Bara
AZAM FC Wampelekea Rais Kikwete Kombe…!

Na dev.kisakuzi.com, Dar es Salaam TIMU ya Mpira wa Miguu ya Azam FC ambao ni mabingwa wapya wa Ligi Kuu ya Mpira wa Miguu Tanzania…

Continue Reading....

Wafanyakazi 32 Waibuka Wafanyakazi Bora, Wakabidhiwa Fedha..!

Posted on: May 1, 2014May 2, 2014 - jomushi
Post Tags: featured, Sherehe za Mei Mosi
Wafanyakazi 32 Waibuka Wafanyakazi Bora, Wakabidhiwa Fedha..!

Na Joachim Mushi JUMLA ya wafanyakazi 32 kutoka makampuni, taasisi na idara mbalimbali nchi  wamepewa dhawadi ya vyeti pamoja na fedha viwango tofauti baada ya…

Continue Reading....

Wananchi waomba Kituo cha Afya Simambwe Kufanya Kazi Saa 24

Posted on: May 1, 2014 - jomushi
Post Tags: featured, Kituo cha Afya
Wananchi waomba Kituo cha Afya Simambwe Kufanya Kazi Saa 24

Na Joachim Mushi, Tembela, Mbeya WANANCHI wa Kata ya Tembela Wilaya ya Mbeya Vijijini wameiomba Serikali kusaidia kukiwezesha Kituo cha Afya Simambwe ili kifanye kazi…

Continue Reading....

Wafanyakazi Walia na Kodi Mei Mosi, Serikali Yaahidi Kupandisha Mishahara…!

Posted on: May 1, 2014 - jomushi
Post Tags: featured, Sherehe za Mei Mosi
Wafanyakazi Walia na Kodi Mei Mosi, Serikali Yaahidi Kupandisha Mishahara…!

Mmoja wa viongozi kutoka chama cha waajili Tanzania. Na Joachim Mushi, Dar es Salaam WAKATI Serikali ikiahidi kuongeza mishahara ya wafanyakazi, Shirikisho la Vyama vya…

Continue Reading....

Sherehe za Mei Mosi Zaingia Dosari, Mfanyakazi wa Ikulu ‘Afia’ Uwanjani…!

Posted on: May 1, 2014 - jomushi
Post Tags: featured, Mai Mosi Kifo
Sherehe za Mei Mosi Zaingia Dosari, Mfanyakazi wa Ikulu ‘Afia’ Uwanjani…!

Na Mwandishi Wetu MAADHIMISHO ya Siku ya Wafanyakazi Kitaifa, maarufu kama Mei Mosi yaliyofanyika leo jijini Dar es Salaam yameingia dosari baada ya mmoja wa…

Continue Reading....

Posts navigation

Older posts
Newer posts
thehabari