Skip to content
Habari  | Michezo | Mahusiano | Blog Tanzania
  • Habari
    • Habari za Kimataifa
    • Habari za Uchunguzi
    • Habari za biashara
    • Habari za Vijijini
  • Matukio Katika Picha
  • Burudani
  • Uchambuzi
  • Michezo
    • Matokeo Ya Ligi Kuu Ya Uingereza (English Premier League)
  • Home
  • featured
  • Page 36

Tag: featured

Mfumuko wa Bei Nchini Tanzania Wazidi Kuongezeka

Posted on: May 8, 2014 - jomushi
Post Tags: featured, Mfumuko wa Bei
Mfumuko wa Bei Nchini Tanzania Wazidi Kuongezeka

Na Aron Msigwa – MAELEZO   OFISI ya Taifa ya Takwimu imeeleza kuwa mfumuko wa bei nchini kwa mwezi Aprili umeongezeka ikilinganishwa na mwezi uliopita kutokana…

Continue Reading....

Wanaharakati Wamtaka Rais Kikwete Kuvunja Bunge la Katiba

Posted on: May 8, 2014 - jomushi
Post Tags: featured, Wanaharakati
Wanaharakati Wamtaka Rais Kikwete Kuvunja Bunge la Katiba

Na Mwandishi Wetu WANAHARAKATI  kutoka sehemu mbalimbali wametoa rai kwa Rais Jakaya Kikwete kulivunja Bunge maalum la Katiba  ili kuunda Bunge huru litakalokuwa na wawakilishi…

Continue Reading....

Kiongozi UNDP, Helen Clark Kufanya Ziara Tanzania Mei, 2014

Posted on: May 8, 2014 - jomushi
Post Tags: featured, UNDP
Kiongozi UNDP, Helen Clark Kufanya Ziara Tanzania Mei, 2014

MKUU wa Shirika la Maendeleo la Umoja wa Mataifa (UNDP), Helen Clark, atafanya ziara nchini Tanzania kuanzia Mei 10 hadi 13, 2014. Kwa mujibu wa…

Continue Reading....

TRA Yapata Kamishna Mkuu Mpya, Ni Rished Bade

Posted on: May 8, 2014 - jomushi
Post Tags: featured, TRA
TRA Yapata Kamishna Mkuu Mpya, Ni Rished Bade

RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Jakaya Mrisho Kikwete amemteua Rished Bade kuwa Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA). Kulingana na Katibu…

Continue Reading....

Upinzani Watoa Masharti Magumu Kushiriki Uchaguzi Mkuu 2015

Posted on: May 8, 2014 - jomushi
Post Tags: featured, Uchaguzi Mkuu 2015
Upinzani Watoa Masharti Magumu Kushiriki Uchaguzi Mkuu 2015

SERIKALI imetakiwa kuandaa taratibu za mpito za kushughulikia Uchaguzi Mkuu ujao ili kunusuru nchi kuingia katika mtanziko unaoweza kuwa chanzo cha machafuko ya kisiasa, endapo…

Continue Reading....

Mvua ya Samaki Yanyesha Kijijini

Posted on: May 8, 2014 - jomushi
Post Tags: featured, Mvua ya Samaki
Mvua ya Samaki Yanyesha Kijijini

WAKAZI wa kijiji kimoja Magharibi mwa Sri Lanka wameshangazwa na pia kwa namna nyingine kufurahishwa na tukio la ‘kunyesha’ kwa mvua ya Samaki wadogo kijijini…

Continue Reading....

Posts navigation

Older posts
Newer posts
thehabari