Skip to content
Habari  | Michezo | Mahusiano | Blog Tanzania
  • Habari
    • Habari za Kimataifa
    • Habari za Uchunguzi
    • Habari za biashara
    • Habari za Vijijini
  • Matukio Katika Picha
  • Burudani
  • Uchambuzi
  • Michezo
    • Matokeo Ya Ligi Kuu Ya Uingereza (English Premier League)
  • Home
  • featured
  • Page 33

Tag: featured

Hospitali za Serikali Dar Zatibu Bure Homa ya Dengue

Posted on: May 14, 2014 - jomushi
Post Tags: featured, Homa ya Dengue
Hospitali za Serikali Dar Zatibu Bure Homa ya Dengue

MKUU wa Mkoa wa Dar es Salaam, Said Meck Sadiki, amewataka wananchi wa mkoa huo kuhakikisha wanampeleka hospitali za Serikali mtu yeyote anayehisiwa kuwa na…

Continue Reading....

JK Kuzinduwa Mkakati wa Kupunguza Vifo vya Mama na Mtoto

Posted on: May 14, 2014 - jomushi
Post Tags: featured, Mkakati Vifo vya Mama na Mtoto
JK Kuzinduwa Mkakati wa Kupunguza Vifo vya Mama na Mtoto

Na Magreth Kinabo – Maelezo RAIS Jakaya Kikwete anatarajiwa kuwa mgeni rasmi katika uzinduzi wa Mpango Mkakati wa kupunguza vifo vinavyotokana na uzazi kwa akinamama…

Continue Reading....

Kongamano la Uwezeshaji Biashara kwa Nchi Changa za Afrika Lafunguliwa

Posted on: May 14, 2014May 14, 2014 - jomushi
Post Tags: featured, Uwezeshaji Biashara
Kongamano la Uwezeshaji Biashara kwa Nchi Changa za Afrika Lafunguliwa

SERIKALI imerudia wito wake kwa sekta binafsi na Wadau wa Maendeleo kuunganisha nguvu zao katika kuboresha mazingira ya ufanyaji biashara nchini na kutumia vyema fursa…

Continue Reading....

Wanaharakati Waijia Juu Serikali Kuhusu Mchakato wa Katiba Mpya

Posted on: May 14, 2014 - jomushi
Post Tags: featured, katiba
Wanaharakati Waijia Juu Serikali Kuhusu Mchakato wa Katiba Mpya

Na Mwandishi Wetu WANAHARAKATI wa ngazi ya jamii na washiriki wa Jukwaa la wazi la Semina za Jinsia na Maendeleo (GDSS) linaloratibiwa na TGNP Mtandao…

Continue Reading....

Mwenyekiti wa CCM Alivyoliwa na Mamba…!

Posted on: May 14, 2014 - jomushi
Post Tags: Aliwa na Mamba, featured
Mwenyekiti wa CCM Alivyoliwa na Mamba…!

MVUA inaweza kuwa neema pale inaponyesha kwa wastani, lakini ikawa karaha pale inapokuwa kubwa, hasa kwa watu wanaoishi mabondeni au kandokando ya mito. Mikoa mingi…

Continue Reading....

Usiombee Kuugua Dengue, Kipimo ni Sh 50,000

Posted on: May 14, 2014 - jomushi
Post Tags: featured, Homa ya Dengue

WAKATI taharuki iliyosababishwa na mlipuko wa homa ya dengue ikiendelea kutikisa kila kona ya jiji, imebainika kwamba gharama za vipimo katika hospitali mbalimbali zinafikia Sh50,000,…

Continue Reading....

Posts navigation

Older posts
Newer posts
thehabari