Skip to content
Habari  | Michezo | Mahusiano | Blog Tanzania
  • Habari
    • Habari za Kimataifa
    • Habari za Uchunguzi
    • Habari za biashara
    • Habari za Vijijini
  • Matukio Katika Picha
  • Burudani
  • Uchambuzi
  • Michezo
    • Matokeo Ya Ligi Kuu Ya Uingereza (English Premier League)
  • Home
  • featured
  • Page 31

Tag: featured

Mkuu wa Mkoa, Meya Dar Wafanya Usafi Mto wa Mlalakuwa

Posted on: May 19, 2014 - jomushi
Post Tags: featured, RC Da Afanya Usafi
Mkuu wa Mkoa, Meya Dar Wafanya Usafi Mto wa Mlalakuwa

Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Said Meck Sadiki akiungana na Meya wa Manispaa ya Kinondoni, Yusuph Mwenda walipoungana na wananchi kufanya usafi katika mto…

Continue Reading....

Jamii Forums Wawavuta Wengi Maonesho ya Biashara ya Uturuki

Posted on: May 17, 2014May 17, 2014 - jomushi
Post Tags: featured, Jamii Media
Jamii Forums Wawavuta Wengi Maonesho ya Biashara ya Uturuki

KAMPUNI ya Jamii Media wamiliki wa mitandao maarufu ya mijadala kwa jamii kupitia mitandao ya jamii, JamiiForums na Fikra Pevu nchini Tanzania imevuta watazamaji wengi…

Continue Reading....

Dawa za Kinga ya Ukimwi Zatumiwa Vibaya na Machangudoa

Posted on: May 17, 2014May 17, 2014 - jomushi
Post Tags: featured, Machangudoa Watumia Vibaya Dawa za Ukimwi
Dawa za Kinga ya Ukimwi Zatumiwa Vibaya na Machangudoa

WANAWAKE wanaofanya biashara ya kuuza miili na wanaume wanaofanya mapenzi ya jinsia moja sasa wanatumia dawa za kufubaza makali ya Virusi vya Ukimwi aina ya…

Continue Reading....

Askari wa JWTZ Brian Salvatory Rweyemamu Kuzikwa Leo Dar

Posted on: May 17, 2014 - jomushi
Post Tags: Askari wa JWTZ, featured
Askari wa JWTZ Brian Salvatory Rweyemamu Kuzikwa Leo Dar

ASKARI wa Jeshi la Wananchi Tanzania, Private Brian Salva Rweyemamu aliyefariki dunia Mei 15, 2014 katika Hospitali ya Jeshi Lugalo jijini Dar es Salaam alipokuwa…

Continue Reading....

Ajali ya Malori Yafunga Barabara ya Mandela…!

Posted on: May 16, 2014May 16, 2014 - jomushi
Post Tags: Ajali ya Malori Dar, featured
Ajali ya Malori Yafunga Barabara ya Mandela…!

Ajali ya malori ya mizigo imefunga barabara ya Mandela kwa muda. Ajali hiyo ilitokea jana jijini Dar es Salaam karibu na eneo la Tabata Dampo.…

Continue Reading....

Werema Alikoroga, Alinywa: Atoa Kauli ya Kuwabagua Wazanzibari

Posted on: May 16, 2014 - jomushi
Post Tags: featured, Jaji Werema
Werema Alikoroga, Alinywa: Atoa Kauli ya Kuwabagua Wazanzibari

KWA maneno ya siku hizi ni kwamba Mwanasheria Mkuu wa Serikali (AG), Jaji Fredrick Werema ‘amelikoroga na kulinywa mwenyewe’, baada ya jana kutoa kauli ya…

Continue Reading....

Posts navigation

Older posts
Newer posts
thehabari