Skip to content
Habari  | Michezo | Mahusiano | Blog Tanzania
  • Habari
    • Habari za Kimataifa
    • Habari za Uchunguzi
    • Habari za biashara
    • Habari za Vijijini
  • Matukio Katika Picha
  • Burudani
  • Uchambuzi
  • Michezo
    • Matokeo Ya Ligi Kuu Ya Uingereza (English Premier League)
  • Home
  • featured
  • Page 30

Tag: featured

Serikali Kujenga Miundombinu Mipya ya Maji

Posted on: May 22, 2014May 22, 2014 - jomushi
Post Tags: featured, Miundombinu Mipya ya Maji
Serikali Kujenga Miundombinu Mipya ya Maji

Na Aron Msigwa – MAELEZO SERIKALI itaendelea na zoezi la kujenga miundominu mipya ya maji na kukarabati ile iliyopo ili kuhakikisha kuwa huduma ya maji…

Continue Reading....

Japan Yaahidi Kuendelea Kuchangia Bajeti ya Tanzania

Posted on: May 21, 2014 - jomushi
Post Tags: Bajeti ya Tanzania, featured
Japan Yaahidi Kuendelea Kuchangia Bajeti ya Tanzania

Mwandishi Maalum, Tokyo SERIKALI ya Japan imeelezea nia yake ya kuendelea kuchangia bajeti ya Tanzania na kufafanua kuwa, inafanya hivyo kwa kutambua kuwa Tanzania ni…

Continue Reading....

UDA Kutumiwa na Wanafunzi kwa Vitambulisho Maalum

Posted on: May 21, 2014 - jomushi
Post Tags: featured, Mabasi ya UDA
UDA Kutumiwa na Wanafunzi kwa Vitambulisho Maalum

Na Anna Nkinda – Maelezo WILAYA ya Kinondoni kwa kushirikiana na ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam wanaandaa mkakati wa kusafirisha wanafunzi…

Continue Reading....

Vifo vya bomu Nigeria vyafikia 118

Posted on: May 20, 2014 - admin
Post Tags: bomu, bomu nigeria, featured, nigeria
Vifo vya bomu Nigeria vyafikia 118

Maafisa nchini Nigeria wamesema kuwa wamepata maiti 118 kufuatia shambulio la bomu katika mji wa Jos. Mabomu mawili yalilipuka mojawepo ikiwa imefichwa ndani ya gari…

Continue Reading....

Wabunge Wataka Kikwete Aunde Tume ya Elimu

Posted on: May 20, 2014 - jomushi
Post Tags: featured, wabunge
Wabunge Wataka Kikwete Aunde Tume ya Elimu

BAADHI ya wabunge jana walichachamaa wakisema elimu nchini ipo mahututi na kumtaka Rais Jakaya Kikwete kuunda tume ya kudumu ya elimu itakayochunguza mfumo wa elimu…

Continue Reading....

Matukio Picha Ziara ya dev.kisakuzi.com Wilaya ya Newala

Posted on: May 20, 2014 - jomushi
Post Tags: featured, Matukio Mtwara
Matukio Picha Ziara ya dev.kisakuzi.com Wilaya ya Newala

Continue Reading....

Posts navigation

Older posts
Newer posts
thehabari