Skip to content
Habari  | Michezo | Mahusiano | Blog Tanzania
  • Habari
    • Habari za Kimataifa
    • Habari za Uchunguzi
    • Habari za biashara
    • Habari za Vijijini
  • Matukio Katika Picha
  • Burudani
  • Uchambuzi
  • Michezo
    • Matokeo Ya Ligi Kuu Ya Uingereza (English Premier League)
  • Home
  • featured
  • Page 3

Tag: featured

Serikali Yatenga Fedha za Mahabusi za Watoto

Posted on: August 13, 2014 - jomushi
Post Tags: featured, Mahabusi za Watoto
Serikali Yatenga Fedha za Mahabusi za Watoto

Na Eleuteri Mangi – MAELEZO SERIKALI imetenga fungu la fedha ambalo litagawiwa kwenye vituo vyote vinavyotoa ushauri nasaha na kurekebisha watoto walio chini ya umri…

Continue Reading....

UKAWA Wamtaka Rais Kikwete Kusitisha Bunge la Katiba

Posted on: August 13, 2014 - jomushi
Post Tags: featured, Wamtaka Rais Kikwete Kusitisha Bunge la Katiba
UKAWA Wamtaka Rais Kikwete Kusitisha Bunge la Katiba

UMOJA wa Katiba ya Wananchi (Ukawa), umemtaka Rais Jakaya Kikwete kusitisha Bunge Maalumu la Katiba linaloendelea mjini Dodoma na iwapo hatafanya hivyo utaongoza maandamano nchi…

Continue Reading....

Manispaa Kinondoni Yaitaji Bil. 1.3 Ujenzi wa Maabara

Posted on: August 13, 2014 - jomushi
Post Tags: featured, Kinondoni Yaitaji Bil. 1.3 Ujenzi wa Maabara
Manispaa Kinondoni Yaitaji Bil. 1.3 Ujenzi wa Maabara

MANISPAA ya Kinondoni inahitaji jumla ya Shilingi bilioni 1.3 ili kutekeleza agizo la Rais Jakaya Kikwete aliyezitaka halmashauri zote kuhakikisha zinajenga maabara katika shule za Sekondari…

Continue Reading....

Mbunge UKAWA Asema Hofu ya Mungu Imemrudisha Bungeni

Posted on: August 11, 2014 - jomushi
Post Tags: featured, Mbunge UKAWA Asema Hofu ya Mungu Imemrudisha Bungeni
Mbunge UKAWA Asema Hofu ya Mungu Imemrudisha Bungeni

Na Magreth Kinabo, Dodoma MJUMBE wa Bunge Maalum la Katiba, Said Arfi ambaye pia ni Mbunge wa Jimbo la Mpanda Mjini kupitia Chama cha Demokrasia na…

Continue Reading....

Rais Kikwete Aeleza Siri ya Utulivu na Amani Tanzania

Posted on: August 11, 2014 - jomushi
Post Tags: featured, Siri ya Utulivu na Amani Tanzania
Rais Kikwete Aeleza Siri ya Utulivu na Amani Tanzania

RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Jakaya Mrisho Kikwete amesema kuwa Tanzania imeendelea kuwa nchi tulivu, yenye umoja na amani kwa sababu ya sera…

Continue Reading....

Mtoto Amuua Baba Yake kwa Rungu

Posted on: August 10, 2014 - jomushi
Post Tags: featured, Mtoto Amuua Baba Yake
Mtoto Amuua Baba Yake kwa Rungu

MTU mmoja mmwenye umri kati ya 65-70 ameuawa baada ya kupigwa na Rungu kichwani na mtu anayedaiwa kuwa ni mtoto wake, Mkazi wa Wilaya ya…

Continue Reading....

Posts navigation

Older posts
Newer posts
thehabari