TGNP Mtandao wamekutana na Kamati za Bunge Mjini Dodoma katika warsha ya siku moja iliyofanyika katika ukumbi wa Hazina ndogo. Warsha hiyo ililenga kuwawezesha Wabunge…
Continue Reading....Tag: featured
Baba Amuua Mwanaye kwa Adhabu Kali
*Ampaka pilipili machoni na makalioni SIMANZI, vilio na majonzi vilitawala Kijiji cha Misiri, Kata ya Bugarama, wilayani Geita, kutokana na tukio la kifo cha mtoto,…
Continue Reading....Lissu Awataja Mawaziri, Wabunge Walioomba Fedha LAPF
MBUNGE wa Singida Mashariki (Chadema), Tundu Lissu amewataja kwa majina mawaziri na wabunge aliosema bungeni kuwa wamekuwa ombaomba katika mifuko ya hifadhi ya jamii. Baadhi…
Continue Reading....Mzindakaya Agoma Kumsamehe Mbunge wa CCM Mkutanoni, Pinda Atoa Kauli Nzito…!
MBUNGE wa zamani wa Jimbo la Kwela, Chrisant Mzindakaya amekataa kumsamehe hadharani Mbunge wa sasa wa Sumbawanga Mjini, Bw. Aeshi Hilali baada ya kupewa…
Continue Reading....Pinda Awataka Viongozi Rukwa Kumaliza Tatizo la Madawati
WAZIRI Mkuu Mizengo Pinda ameutaka uongozi wa Mkoa wa Rukwa kuhakikisha unamaliza tatizo la upungufu wa madawati ili watoto wa shule za msingi wasiendelee kukaa…
Continue Reading....Madiwani Wawabana Watendaji wa Vijiji na Kata Rombo
BARAZA la Madiwani wa Halmashauri ya Wilaya ya Rombo limetoa utaratibu mpya wa kuwabana watendaji wa vijiji na kata wasio toa taarifa za mapato na…
Continue Reading....