Skip to content
Habari  | Michezo | Mahusiano | Blog Tanzania
  • Habari
    • Habari za Kimataifa
    • Habari za Uchunguzi
    • Habari za biashara
    • Habari za Vijijini
  • Matukio Katika Picha
  • Burudani
  • Uchambuzi
  • Michezo
    • Matokeo Ya Ligi Kuu Ya Uingereza (English Premier League)
  • Home
  • featured
  • Page 27

Tag: featured

Rais Kikwete ‘Alilia’ Malengo ya Milenia Canada

Posted on: May 29, 2014 - jomushi
Post Tags: Canada, featured, Raisi Kikwete
Rais Kikwete ‘Alilia’ Malengo ya Milenia Canada

RAIS wa Tanzania, Jakaya Mrisho Kikwete ameitaka Jumuiya ya Kimataifa kuhakikisha kuwa malengo ya milenia yanatekelezwa kwa ukamilifu hata baada ya kuisha muda uliowekwa wa…

Continue Reading....

Mbunge wa Nkasi Nusura Apigwe na Wabunge wa CUF

Posted on: May 28, 2014 - jomushi
Post Tags: featured, Mbunge na Kipigo
Mbunge wa Nkasi Nusura Apigwe na Wabunge wa CUF

KELELE, kukunjana na kunyoosheana vidole jana mchana vilitawala nje ya ukumbi wa Bunge wakati wabunge wa CUF kutoka Zanzibar walipotaka ‘kumkanya’ Mbunge wa Nkasi Kaskazini…

Continue Reading....

Watoto Nkasi Waajiriwa kwa Ujira wa Ndama kwa Mwaka

Posted on: May 27, 2014 - jomushi
Post Tags: Ajira kwa Watoto Nkasi, featured
Watoto Nkasi Waajiriwa kwa Ujira wa Ndama kwa Mwaka

Na Joachim Mushi, Nkasi BAADHI ya watoto Wilaya ya Nkasi, Mkoa wa Rukwa hasa maeneo ya vijijini wamekuwa wakiajiriwa na familia za kifugaji kwa ujira…

Continue Reading....

Vigogo Tanesco Wafikishwa Mahakamani, Yumo Mkurugenzi Mkuu

Posted on: May 27, 2014 - jomushi
Post Tags: featured, Vigogo Tanesco mahakamani
Vigogo Tanesco Wafikishwa Mahakamani, Yumo Mkurugenzi Mkuu

ALIYEKUWA Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Umeme Tanzania (Tanesco), William Mhando na mkewe Eva Mhando, wamefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, Dar es Salaam…

Continue Reading....

Upinzani Waibua Ufisadi Wizara ya Uchukuzi

Posted on: May 27, 2014 - jomushi
Post Tags: featured, Ufisadi Wizara ya Uchukuzi
Upinzani Waibua Ufisadi Wizara ya Uchukuzi

KAMBI rasmi ya upinzani bungeni imeibua ufisadi wa kutisha, kwamba Wizara ya Uchukuzi iliiagiza Mamlaka ya Bandari (TPA), ilipe gharama za sh milioni 11.164 katika…

Continue Reading....

Daladala Dar Zagoma Kwenda Mwenge…!

Posted on: May 26, 2014 - jomushi
Post Tags: Daladala Dar Zagoma, featured
Daladala Dar Zagoma Kwenda Mwenge…!

ABIRIA wanaotumia njia ya Makumbusho kuelekea Mwenge kutokea Tandika, Buguruni na Mbagala leo wameonja joto ya jiwe kwa takribani masaa kadhaa baada ya mabasi yanayotumia…

Continue Reading....

Posts navigation

Older posts
Newer posts
thehabari