Skip to content
Habari  | Michezo | Mahusiano | Blog Tanzania
  • Habari
    • Habari za Kimataifa
    • Habari za Uchunguzi
    • Habari za biashara
    • Habari za Vijijini
  • Matukio Katika Picha
  • Burudani
  • Uchambuzi
  • Michezo
    • Matokeo Ya Ligi Kuu Ya Uingereza (English Premier League)
  • Home
  • featured
  • Page 24

Tag: featured

Dk Huvisa Aingia Bodi ya Chuo cha Mwalimu Nyerere, Dk Ole Medeye Apeta SADC PF

Posted on: June 10, 2014 - jomushi
Post Tags: Dk Huvisa aingia Bodi ya Mwalimu Nyerere, featured, Ole Medeye apeta SADC PF
Dk Huvisa Aingia Bodi ya Chuo cha Mwalimu Nyerere, Dk Ole Medeye Apeta SADC PF

BUNGE la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania limemchagua Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais – Mazingira Dk. Terezya Huvisa kuwa Mjumbe wa Bodi…

Continue Reading....

Mjadala Washauri Kuundwa Sheria ya Kusimamia Utekelezaji Bajeti

Posted on: June 10, 2014 - jomushi
Post Tags: featured, Wataka Sheria ya Bajeti
Mjadala Washauri Kuundwa Sheria ya Kusimamia Utekelezaji Bajeti

Na Joachim Mushi BAADHI ya wanaharakati wamevitaka vyombo vinavyotunga sheria nchini kwa pamoja kwa kushirikiana na wanaharakati kuhakikisha wanashinikiza kutungwa kwa sheria itakayo simamia bajeti…

Continue Reading....

Magari Yanayojiendesha Sasa Yaja

Posted on: June 10, 2014 - jomushi
Post Tags: featured, Magari Yanayojiendesha
Magari Yanayojiendesha Sasa Yaja

MAGARI yanayojiendesha bila ya dereva kushika usukani yataanza kusambazwa duniani kabla ya muda uliotarajiwa. Hiyo inatokana na makubaliano yaliyofikiwa na kuondolewa kwa kipengele cha sheria…

Continue Reading....

Vijana Wengi Wajitokeza Kumzika Mzee Small Dar, Wabeba Jeneza Kumthamini..!

Posted on: June 10, 2014 - jomushi
Post Tags: featured, Mazishi ya Mzee Small Dar
Vijana Wengi Wajitokeza Kumzika Mzee Small Dar, Wabeba Jeneza Kumthamini..!

 Msafara wa magari na waendesha Bodaboda wakiwa katika barabara ya Segerea Kinyerezi wakati wakielekea Makaburi ya Segerea kwaajili ya Kumpumzisha Kwa Amani Mkongwe wa Sanaa…

Continue Reading....

Mhariri Mtendaji Gazeti la Jambo Leo Apata ‘Jiko’

Posted on: June 8, 2014June 8, 2014 - jomushi
Post Tags: featured, Mhariri Mkuu Jambo Leo Apata 'Jiko'
Mhariri Mtendaji Gazeti la Jambo Leo Apata ‘Jiko’

Continue Reading....

Tajiri Afanya Ukatili wa Kutisha kwa ‘House Girl’ Atumia Pasi ya Moto…!

Posted on: June 7, 2014 - jomushi
Post Tags: featured, Tajiri Afanya Ukatili wa Kutisha
Tajiri Afanya Ukatili wa Kutisha kwa ‘House Girl’ Atumia Pasi ya Moto…!

*Adaiwa kumng’ata, kumchoma pasi mtumishi wake kwa miaka mitatu MFANYAKAZI wa ndani (house girl), Yusta Lucas (20) amekumbana na masahibu yanayofanana na yale ya mtoto…

Continue Reading....

Posts navigation

Older posts
Newer posts
thehabari