MAISHA ya baadhi ya watu wanaotumia dawa za kufubaza makali ya ugonjwa wa Ukimwi (ARVs), yapo hatarini, baada ya kupungua kwa dawa hizo nchini na…
Continue Reading....Tag: featured
Bomu Laua Mmoja na Kujeruhi 7 Zanzibar
MTU mmoja amefariki dunia na wengine saba kujeruhiwa baada ya kurushiwa bomu na watu wasiojulikana katika eneo la Darajani, muda mfupi baada ya kuhudhuria mawaidha…
Continue Reading....TGNP Yaishangaa Bajeti ya Serikali 2014/15, Yahoji…!!
JE BAJETI HII NI YA WANANCHI AU YA WAWEKEZAJI?* TGNP Mtandao kwa kushirikiana na wanaharakati ngazi ya jamii kutoka maeneno mbali mbali ya Dar es…
Continue Reading....Bajeti 2014/15 Maumivu kwa Walevi, Wafanyakazi Wapunguziwa Kodi
*Sigara, Juisi, Mvinyo Vyapanda Tena, Wastaafu wakumbukwa Na Joachim Mushi WAZIRI wa Fedha leo mjini Dodoma amesoma Bajeti ya Makadirio ya Mapato na Matumizi ya…
Continue Reading....Majambazi Yateka Kituo cha Polisi, Yaua Askari na Kuiba Bunduki
HILI linawezekana kuwa ni tukio la kwanza na la aina yake. Majambazi wanaokisiwa kuwa sita, wakiwa na pikipiki tatu, juzi walivamia Kituo Kidogo cha Polisi…
Continue Reading....Wananchi Waeleza Mafanikio ya Utafiti Raghbishi wa TGNP
WANAHARAKATI ngazi ya jamii kutoka mikoa ya Morogoro, Shinyanga, Mbeya, Mara na Jijini Dar es Salaam wamesema utafiti wa kiragibishi unaofanywa na Mtandao wa Jinsia…
Continue Reading....