Skip to content
Habari  | Michezo | Mahusiano | Blog Tanzania
  • Habari
    • Habari za Kimataifa
    • Habari za Uchunguzi
    • Habari za biashara
    • Habari za Vijijini
  • Matukio Katika Picha
  • Burudani
  • Uchambuzi
  • Michezo
    • Matokeo Ya Ligi Kuu Ya Uingereza (English Premier League)
  • Home
  • featured
  • Page 22

Tag: featured

Maambukizi ya Ukimwi Yapungua Jijini Dar es Salaam

Posted on: June 18, 2014 - jomushi
Post Tags: featured, Maambukizi ya Ukimwi Yapungua
Maambukizi ya Ukimwi Yapungua Jijini Dar es Salaam

  Na Aron Msigwa –MAELEZO JIJI la Dar es Salaam limefanikiwa kupunguza kiwango cha maambukizi ya VVU kutoka asilimia 9.8 za mwaka 2007/08 hadi kufikia…

Continue Reading....

Japan Yachangia Bajeti ya Serikali, Yatoa Bilioni 24.1

Posted on: June 18, 2014June 18, 2014 - jomushi
Post Tags: Bajeti ya Serikali, featured
Japan Yachangia Bajeti ya Serikali, Yatoa Bilioni 24.1

WAKATI Wizara ya Fedha ikiendelea na majadiliano ya Bajeti ya Serikali mjini Dodoma, Serikali ya Japan imetoa shilingi bilioni 24.1 za Kitanzania kutoka Serikali ya…

Continue Reading....

Maonesho ya Wiki ya Utumishi wa Umma Viwanja vya Mnazi Mmoja Dar

Posted on: June 18, 2014 - jomushi
Post Tags: featured, Wiki ya Utumishi wa Umma
Maonesho ya Wiki ya Utumishi wa Umma Viwanja vya Mnazi Mmoja Dar

Burudani zikiendelea leo katika maonesho ya Wiki ya Utumishi wa Umma yanayofanyika kwenye viwanja vya Mnazi Mmoja jijini Dar es Salaam.

Continue Reading....

Jubilee Insurance Yahamasisha Uchangiaji Damu

Posted on: June 17, 2014 - jomushi
Post Tags: featured, Uchangiaji Damu
Jubilee Insurance Yahamasisha Uchangiaji Damu

Jubilee Insurance Yahamasisha Uchangiaji Damu KILA mwaka tarehe 14 Juni ni siku ya kuchangia damu duniani, Jubilee Insurance chini ya idarayakeya utabibuikishirikiana na wizara yaafyaTanzania…

Continue Reading....

Dk Bilal Apigia Debe Chakula kwa Wanachama wa G77+ China

Posted on: June 16, 2014June 16, 2014 - jomushi
Post Tags: Dk Bilal Apigia Debe Chakula, featured
Dk Bilal Apigia Debe Chakula kwa Wanachama wa G77+ China

Na Mwandishi Maalum, Santa Cruz, Bolivia MAKAMU wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. Mohammed Gharib Bilal amezitaka nchi wanachama wa G77+China, kuhakikisha…

Continue Reading....

Al Shabaab Washambulia Kenya, Wauwa Raia 48 Lamu

Posted on: June 16, 2014 - jomushi
Post Tags: Al Shabaab Washambulia Kenya, featured
Al Shabaab Washambulia Kenya, Wauwa Raia 48 Lamu

WATU wanaoshukiwa kuwa wapiganaji wa Kiislamu wameshambulia kituo cha polisi, hoteli na vijiji mjini Mpeketoni, pwani ya nchini ya Kenya. Makabiliano makali yameripotiwa kutokea sehemu…

Continue Reading....

Posts navigation

Older posts
Newer posts
thehabari