Skip to content
Habari  | Michezo | Mahusiano | Blog Tanzania
  • Habari
    • Habari za Kimataifa
    • Habari za Uchunguzi
    • Habari za biashara
    • Habari za Vijijini
  • Matukio Katika Picha
  • Burudani
  • Uchambuzi
  • Michezo
    • Matokeo Ya Ligi Kuu Ya Uingereza (English Premier League)
  • Home
  • featured
  • Page 21

Tag: featured

Maadhimisho ya Ekaristi Takatifu Yaangusha Mapepo Tabata

Posted on: June 22, 2014 - jomushi
Post Tags: featured, Maadhimisho ya Ekaristi Takatifu
Maadhimisho ya Ekaristi Takatifu Yaangusha Mapepo Tabata

Na Mwandishi Wetu MAADHIMISHO ya Ekaristi takatifu yaliyofanyika leo katika Kanisa Katoliki la Kristu Mfalme Parokia ya Tabata jijini Dar es Salaam yameibua mapepo toka…

Continue Reading....

Mjadala Bunge la Katiba Hauninyimi Usingizi – Rais Kikwete

Posted on: June 21, 2014June 21, 2014 - jomushi
Post Tags: Bunge la Katiba halininyimi usingizi, featured, kikwete
Mjadala Bunge la Katiba Hauninyimi Usingizi – Rais Kikwete

RAIS wa Tanzania, Jakaya Kikwete amesema kuwa hana wasiwasi na hali ya mjadala mkali uliotawala Bunge Maalum la Katiba kwa sababu ni muhimu kwa mjadala…

Continue Reading....

Rais Kikwete Ataja Kazi za Kufanya Baada ya Uraisi

Posted on: June 21, 2014 - jomushi
Post Tags: featured, Kikwete Ataja Kazi za Kufanya baada ya Urais
Rais Kikwete Ataja Kazi za Kufanya Baada ya Uraisi

RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi na Usalama, Jakaya Kikwete amesema kuwa anakusudia kurejea darasani kushika…

Continue Reading....

Serikali Yamchunguza Aliyepewa Zawadi ya Mke Kijijini

Posted on: June 20, 2014 - jomushi
Post Tags: featured, Zawadi ya Mke Kijijini
Serikali Yamchunguza Aliyepewa Zawadi ya Mke Kijijini

TUME inayohusika na masuala ya usawa wa kijinsia nchini Afrika Kusini inafanya uchunguzi kuhusu madai kuwa Mkuu wa Shirika la Habari la SABC nchini humo…

Continue Reading....

Mfuko wa Janga la Moto Soko la Mchikichini Waanzishwa

Posted on: June 20, 2014 - jomushi
Post Tags: featured, Janga la Moto Soko la Mchikichini
Mfuko wa Janga la Moto Soko la Mchikichini Waanzishwa

Na Aron Msigwa – Maelezo, Dar es Salaam BAADHI ya wakazi wa Jiji la Dar es Salaam wamejitokeza kuanzisha mfuko maaluum wa kuwasaidia wafanyabiashara wapatao…

Continue Reading....

Samsung; Built For Africa

Posted on: June 20, 2014 - jomushi
Post Tags: featured, Samsung; Built For Africa
Samsung; Built For Africa

THE steady growth of the Tanzanian economy has seen an influx of foreign owned companies venturing into the country with the aim of unleashing their…

Continue Reading....

Posts navigation

Older posts
Newer posts
thehabari