Skip to content
Habari  | Michezo | Mahusiano | Blog Tanzania
  • Habari
    • Habari za Kimataifa
    • Habari za Uchunguzi
    • Habari za biashara
    • Habari za Vijijini
  • Matukio Katika Picha
  • Burudani
  • Uchambuzi
  • Michezo
    • Matokeo Ya Ligi Kuu Ya Uingereza (English Premier League)
  • Home
  • featured
  • Page 2

Tag: featured

Dk. Msonde Apewa NECTA Rasmi, JK Awaapisha Majaji Wapya Dar

Posted on: August 16, 2014August 16, 2014 - jomushi
Post Tags: Dk. Msonde Apewa NECTA Rasmi, featured
Dk. Msonde Apewa NECTA Rasmi, JK Awaapisha Majaji Wapya Dar

RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Jakaya Kikwete amemteua Dk. Charles Msonde kuwa Katibu Mtendaji wa Baraza la Taifa la Mitihani Tanzania (NECTA). Taarifa…

Continue Reading....

Serikali Haina Nguvu Kuzungumzia Uraia Pacha – Rais Kikwete

Posted on: August 15, 2014 - jomushi
Post Tags: featured, Rais Kikwete na Uraia Pacha
Serikali Haina Nguvu Kuzungumzia Uraia Pacha – Rais Kikwete

Na Joseph Ishengoma RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Jakaya Kikwete amesema hana mamlaka ya amri kuzungumzia uraia pacha kwasababu suala hilo ni…

Continue Reading....

Basi la TFF Lakamatwa kwa Deni, Ebola Yasimamisha Mechi za CUF

Posted on: August 14, 2014 - jomushi
Post Tags: Basi la TFF Lakamatwa kwa Deni, featured
Basi la TFF Lakamatwa kwa Deni, Ebola Yasimamisha Mechi za CUF

BASI la Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) limekamatwa na madalali kwa amri ya mahakama kutokana na deni la sh milioni 140 ambalo tunadaiwa…

Continue Reading....

Takwimu Zaonesha Benki za EAC Kukua kwa Kasi

Posted on: August 14, 2014 - jomushi
Post Tags: Benki za EAC Kukua kwa Kasi, featured
Takwimu Zaonesha Benki za EAC Kukua kwa Kasi

Na James Gashumba, EANA BENKI zilizomo katika nchi wanachama za Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) zinatarajia kukua na kupanuka katika kipindi cha miaka miwili ijayo.…

Continue Reading....

Umbali Huduma za Afya Wilayani Ngorongoro Wawatesa Wajawazito

Posted on: August 14, 2014 - jomushi
Post Tags: featured, Huduma za Afya Wilayani Ngorongoro
Umbali Huduma za Afya Wilayani Ngorongoro Wawatesa Wajawazito

Diwani wa kata ya Ololosokwani na Mkurugenzi wa Irkiramat Foundation (RAMAT) Bw. Yannick Ikayo Ndoinyo akiangalia kitanda cha kujifungulia wakimama kwenye Zahanati ya Sero ambayo…

Continue Reading....

Aliyebaka Mwanafunzi Darasa la Nne Ahukumia Miaka 30

Posted on: August 13, 2014 - jomushi
Post Tags: featured, Mbakaji ahukumia Miaka 30
Aliyebaka Mwanafunzi Darasa la Nne Ahukumia Miaka 30

Yohane Gervas, Rombo MAHAKAMA ya Wilaya ya Rombo, mkoani Kilimanjaro imemhukumu kifungo cha miaka 30, Philipo Mbiti (38) baada yakupatikana na hatia ya kumbaka mwanafunzi…

Continue Reading....

Posts navigation

Older posts
Newer posts
thehabari