WAZIRI Mkuu wa zamani, Edward Lowassa amesema madai kwamba yeye ni tajiri hayana ukweli wowote. Amesema yeye ni mfugaji na anamiliki ng’ombe zaidi ya 800…
Continue Reading....Tag: featured
Kampuni ya TTCL Yatwaa Tuzo ya Maonesho ya Biashara Sabasaba…!
KAMPUNI ya Simu Tanzania, TTCL imeshinda tuzo katika kundi la kampuni zinazotoa huduma za mawasiliano, kwenye Maonesho ya 38 ya Biashara ya Sabasaba yanayoendelea katika…
Continue Reading....Jubilei ya Miaka 25 ya Askofu Tarcisius Ngalalekumtwa
Waziri Mkuu Mstaafu na Mbunge wa Jimbo la Monduli, Edward Lowassa akisalimiana na Askofu Mkuu wa Jimbo la Iringa, Mhashamu Tarcisius Ngalalekumtwa wakati wa Jubilei…
Continue Reading....Pinda Awataka Viongozi wa Dini Kuombea Uchaguzi Serikali za Mitaa
WAZIRI Mkuu Mizengo Pinda amewaomba viongozi wa dini kote nchini na wananchi waungane pamoja ili kuombea uchaguzi mkuu wa viongozi wakuu wa Rais, wabunge na…
Continue Reading....Waziri Pinda Azungumzia Uchaguzi wa Serikali za Mitaa
Waziri Pinda Azungumzia Uchaguzi wa Serikali za Mitaa WAZIRI MKUU Mizengo Pinda amesema maandalizi ya uchaguzi wa Serikali za Mitaa ambao unatarajiwa kufanyika Oktoba mwaka…
Continue Reading....Serikali Inadanganya Kuhusu Akaunti ya Tegeta Escrow – Zitto
KWA mara nyingine serikali kupitia viongozi na watendaji wake akiwamo Mwanasheria Mkuu wa Serikali (AG), wamedai kwamba kiasi cha Dola za Marekani milioni 250 zilizopaswa…
Continue Reading....