Skip to content
Habari  | Michezo | Mahusiano | Blog Tanzania
  • Habari
    • Habari za Kimataifa
    • Habari za Uchunguzi
    • Habari za biashara
    • Habari za Vijijini
  • Matukio Katika Picha
  • Burudani
  • Uchambuzi
  • Michezo
    • Matokeo Ya Ligi Kuu Ya Uingereza (English Premier League)
  • Home
  • featured
  • Page 16

Tag: featured

Wanaume wa Tarime Wakataa Ukeketaji

Posted on: July 8, 2014 - jomushi
Post Tags: featured, Tarime Wakataa Ukeketaji
Wanaume wa Tarime Wakataa Ukeketaji

Na Deogratius Temba WANAUME kutoka katika Kata ya Nyamaraga Kijiji cha Ng’ereng’ere Wilaya ya Tarime mkoani Mara wamewataka wanaume wote kukataa kuoa wasichana waliokeketwa ili…

Continue Reading....

Utajiri wa Lowassa Unavyoyatesa Makanisa Tanzania

Posted on: July 7, 2014July 7, 2014 - jomushi
Post Tags: featured, Utajiri wa Lowassa Unavyoyatesa Makanisa
Utajiri wa Lowassa Unavyoyatesa Makanisa Tanzania

Na Prudence Karugendo KATIKA mafundisho ya Injili, ambayo ni maelezo kuhusu Yesu Kristo, inaelezwa kwamba mama mmoja alikamatwa na kupelekwa mbele ya Kristo akituhumiwa kufanya…

Continue Reading....

DCB Bank Watambulisha DCB Jirani na DCB Mobile Sabasaba

Posted on: July 7, 2014July 7, 2014 - jomushi
Post Tags: DCB Bank Watambulisha DCB Jirani, featured
DCB Bank Watambulisha DCB Jirani na DCB Mobile Sabasaba

DCB Commercial Bank imeendelea kuzitambulisha huduma zake mpya ikiwemo ya DCB Jirani ambayo inamuwezesha mteja wa banki hiyo kupata huduma za kibenki mahali popote kwa…

Continue Reading....

Rais Kikwete Atembelea Banda la TTCL Maonesho ya Kimataifa ya Biashara

Posted on: July 6, 2014 - jomushi
Post Tags: featured, Kikwete Atembelea Banda la TTCL Sabasaba
Rais Kikwete Atembelea Banda la TTCL Maonesho ya Kimataifa ya Biashara

Continue Reading....

Mkataba wa Gesi Umevuja: Tanzania Kupoteza Trilioni 1.6 Kwa Mwaka

Posted on: July 6, 2014 - jomushi
Post Tags: featured, Mkataba wa Gesi Umevuja
Mkataba wa Gesi Umevuja: Tanzania Kupoteza Trilioni 1.6 Kwa Mwaka

Zitto Kabwe, Mb MKATABA wa mgawanyo wa mapato yanayotokana na uzalishaji wa Gesi Asilia (PSA) kati ya Shirika la Mafuta Tanzania na Kampuni ya Mafuta…

Continue Reading....

Papa Francis Aruhusu Wanamaombi Kanisani

Posted on: July 6, 2014July 6, 2014 - jomushi
Post Tags: featured, Papa Francis
Papa Francis Aruhusu Wanamaombi Kanisani

MAKAO Makuu ya Kanisa Katoliki (Vatican), yametangaza kuwatambua rasmi makasisi wake wanaoombea na kutoa pepo wanaowashikilia waumini wao kama yanavyofanya makanisa ya Kipentekoste. Uamuzi huo…

Continue Reading....

Posts navigation

Older posts
Newer posts
thehabari