Na Mwandishi Wetu, Rombo SERIKALI imeombwa kudhibiti utengenezaji holela wa pombe za kienyeji katika Wilaya ya Rombo mkoani Kilimanjaro ambao umekuwa hauzingatii afya ya mtumiaji.…
Continue Reading....Tag: featured
Rais Kikwete Alia na Maabara Shule za Sekondari
RAIS Jakaya Kikwete amewaagiza wakuu wa mikoa na wilaya nchini kwa kushirikiana na wananchi kuhakikisha ifikapo Mwezi Novemba Mwaka huu, kila shule ya sekondari maeneo…
Continue Reading....Uzinduzi wa Nembo Mpya ya Amref Jijini Dar es Salaam
Mkurugenzi wa Amref Health Africa Tanzania, Dk. Festus Ilako (wa kwanza kushoto) Akimkaribisha Waziri wa Afya Dk. Seleman Seif Rashid kuzindua nembo mpya ya Amref.…
Continue Reading....Mfumuko wa Bei Wapungu Mwezi Juni
Na Aron Msigwa – MAELEZO OFISI ya Taifa ya Takwimu imeeleza kuwa mfumuko wa bei nchini kwa mwezi Juni 2014 umepungua ikilinganishwa na mwezi uliopita…
Continue Reading....Ujerumani Yafanya ‘Mauaji’ ya Kihistoria Brazil
TIMU ya Taifa ya Ujerumani imefanya mauaji ya kihistoria katika Fainali za Kombe la Dunia baada ya kuibugiza Timu ya Brazil mabao saba kwa moja…
Continue Reading....Bomu Lalipuka Tena Mgahawani Arusha, Lajeruhi Vibaya
Bomu Lalipuka Tena Mgahawani Arusha, Lajeruhi Vibaya TAARIFA zinasema bomu limerushwa ndani ya Mgahawa ujulikanao kama ‘Traditional Indian Cusine’ uliopo karibu na Hotel ya Gymkana…
Continue Reading....