Skip to content
Habari  | Michezo | Mahusiano | Blog Tanzania
  • Habari
    • Habari za Kimataifa
    • Habari za Uchunguzi
    • Habari za biashara
    • Habari za Vijijini
  • Matukio Katika Picha
  • Burudani
  • Uchambuzi
  • Michezo
    • Matokeo Ya Ligi Kuu Ya Uingereza (English Premier League)
  • Home
  • featured
  • Page 14

Tag: featured

Pinda Asema Sera ya Diaspora iko Mbioni Kukamilika, Serikali Yaandaa Kongamano

Posted on: July 14, 2014 - jomushi
Post Tags: featured, Pinda asema Sera ya Diaspora kukamilika
Pinda Asema Sera ya Diaspora iko Mbioni Kukamilika, Serikali Yaandaa Kongamano

WAZIRI Mkuu wa Tanzania, Mizengo Pinda amesema rasimu ya Sera ya Diaspora iko kwenye hatua za mwisho za maandalizi na muda si mrefu itaingizwa kwenye…

Continue Reading....

Mtanzania Mzalendo Aishauri Serikali Kuhamia Dodoma

Posted on: July 14, 2014 - jomushi
Post Tags: featured, Makao makuu ya Tanzania
Mtanzania Mzalendo Aishauri Serikali Kuhamia Dodoma

Lorietha Laurence na Rose Masaka (SJMC) SERIKALI imeshauriwa kuendeleza mchakato wa kuhamisha ofisi zote zake mkoani Dodoma kwenye makao makuu ya nchi yetu ili kuweza kupunguza msongamano…

Continue Reading....

JK Apongeza Vyama vya Siasa, Ashauri Viongozi wa Dini Kuombea Bunge

Posted on: July 14, 2014 - jomushi
Post Tags: featured, JK Apongeza Vyama vya Siasa
JK Apongeza Vyama vya Siasa, Ashauri Viongozi wa Dini Kuombea Bunge

RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Jakaya Kikwete amevipongeza vyama vinne vikuu vya siasa nchini ambavyo vimeanzisha majadiliano ya kutafuta namna wajumbe waliosusia Bunge…

Continue Reading....

Rais Kikwete Azitaka Halmashauri Kutenga Ardhi kwa NHC

Posted on: July 12, 2014 - jomushi
Post Tags: featured, Halmashauri Kutenga Ardhi kwa NHC
Rais Kikwete Azitaka Halmashauri Kutenga Ardhi kwa NHC

RAIS Jakaya Mrisho Kikwete ameziagiza Halmashauri zote nchini kutenga ardhi kwa Shirika la Nyumba la Taifa (NHC) kwa ajili ya kujenga nyumba za bei nafuu…

Continue Reading....

Uholanzi Yawaongezea Machungu Wabrazili, Yawachapa 3-0

Posted on: July 12, 2014 - jomushi
Post Tags: featured, Uholanzi Yawaongezea Machungu Wabrazili
Uholanzi Yawaongezea Machungu Wabrazili, Yawachapa 3-0

TIMU ya taifa ya Uholanzi imeongeza machungu kwa timu ya taifa ya Brazil katika fainali za kombe la dunia baada ya kuichapa timu hiyo mabao…

Continue Reading....

Salma Kikwete Apinga Ndoa za Utotoni na Taasisi ya Segal Family

Posted on: July 12, 2014 - jomushi
Post Tags: featured, Ndoa za Utotoni
Salma Kikwete Apinga Ndoa za Utotoni na Taasisi ya Segal Family

Na Anna Nkinda – Maelezo, Arusha JAMII imetakiwa kushirikiana kwa pamoja kupiga vita ndoa za utotoni hii ikiwa ni pamoja na kuhakikisha kuwa sera na…

Continue Reading....

Posts navigation

Older posts
Newer posts
thehabari