Skip to content
Habari  | Michezo | Mahusiano | Blog Tanzania
  • Habari
    • Habari za Kimataifa
    • Habari za Uchunguzi
    • Habari za biashara
    • Habari za Vijijini
  • Matukio Katika Picha
  • Burudani
  • Uchambuzi
  • Michezo
    • Matokeo Ya Ligi Kuu Ya Uingereza (English Premier League)
  • Home
  • Ebola

Tag: Ebola

Magonjwa Kama Ebola Kuendelea Isumbua Dunia-UN

Posted on: May 8, 2015 - jomushi
Post Tags: Dunia-UN, Ebola, Magonjwa
Magonjwa Kama Ebola Kuendelea Isumbua Dunia-UN

NAIBU Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa (UN), J. Eliasson ameliambia Jopo la Watu Mashuhuri linaloongozwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Jakaya…

Continue Reading....

Ebola Imethibitisha Udhaifu wa Mifumo ya Afya

Posted on: January 28, 2015 - jomushi
Post Tags: afya, Ebola, Mifumo
Ebola Imethibitisha Udhaifu wa Mifumo ya Afya

MKUTANO mkubwa wa kimataifa kuhusu masuala ya afya umeambiwa kuwa ugonjwa wa ebola umethibitisha kuwa dunia haijajenga uwezo wa kutosha wa kukabiliana na magonjwa makubwa…

Continue Reading....

Wadau Wajadili Mkakati wa Taarifa sahihi za Ebola

Posted on: November 13, 2014 - jomushi
Post Tags: Ebola, Taarifa, UNESCO
Wadau Wajadili Mkakati wa Taarifa sahihi za Ebola

Mkurugenzi Msaidizi Kitengo cha Elimu ya Afya kwa Umma kutoka Wizara ya Afya na Ustawi ya Jamii, Said Makora (kulia), akielezea jinsi Wizara hiyo inavyopambana…

Continue Reading....

China Kupeleka Dola Milioni 85 Kusaidia Mapambano ya Ebola

Posted on: October 25, 2014 - jomushi
Post Tags: China, Ebola, Msaada, XI Jinping
China Kupeleka Dola Milioni 85 Kusaidia Mapambano ya Ebola

JAMHURI ya Watu wa China Oktoba 24, 2014 imetangaza kuwa kwa mara ya nne katika kipindi kifupi inapeleka msaada wa dawa, vifaa na mahitaji mengine…

Continue Reading....

Boko Haram Wateka Vijiji Wauwa, Nigeria Hakuna Ebola…!

Posted on: October 20, 2014 - jomushi
Post Tags: Boko Haram, Ebola, nigeria, Wauwa
Boko Haram Wateka Vijiji Wauwa, Nigeria Hakuna Ebola…!

WATU wanaohisiwa kuwa wapiganaji wa Boko Haram, wamewapiga risasi na kuwachinja watu katika vijiji vitatu Kaskazini Mashariki mwa Nigeria licha ya serikali kudai mwishoni mwa…

Continue Reading....

Mfanyakazi UN Aliyeambukizwa Ebola Afariki

Posted on: October 14, 2014 - jomushi
Post Tags: Ebola, Mfanyakazi UN
Mfanyakazi UN Aliyeambukizwa Ebola Afariki

MFANYAKAZI wa Umoja wa Mataifa aliyeambukizwa Ebola amefariki dunia katika hospitali moja nchini Ujerumani. Madaktari katika hospitali ya Leipzig wamesema mtu huyo mwenye umri wa…

Continue Reading....

Posts navigation

Older posts
thehabari