MKUU wa Mkoa wa Dar es Salaam, Said Meck Sadiq ametoa tahadhari kwa wakazi wa jiji hilo kuwa makini kwani ugonjwa wa kipindupindu tayari umevamia…
Continue Reading....Tag: Dar
Polisi Kutoa Milioni 50 kwa Atakayetoa Taarifa Uvamizi Stakishari…!
JESHI la Polisi limetangaza kutoa kiasi cha shilingi milioni 50 kwa mtu yeyote atakayetoa taarifa sahihi juu ya wavamizi wa Kituo cha Polisi Stakishari kilichopo…
Continue Reading....Polisi Wadhibiti ‘Majambazi’ Mtaa wa Samora na Nkruma Dar
Kijana mwingine anayedaiwa kuwa ni jambazi akiwa amekamatwa. Watuhumiwa hao wanne wa ujambazi wakiwa ndani ya Noah kabla ya kupelekwa Kituo Kikuu cha Polisi. Kulia…
Continue Reading....Hospitali za Apollo Kuokoa Zaidi ya Watu 100 Maonyesho ya Biashara ya Kimataifa Dar
HOSPITALI za Apollo zimekuwa mstari wa mbele kwa teknolojia ya hali ya juu na zinaongoza katika kutoa huduma nafuu za matibabu kwa wagonjwa duniani kote.…
Continue Reading....Sababu za Mafuriko Kila Sehemu Dar es Salaam Zatajwa
MVUA zinazoendelea kunyesha nakusababisha mafuriko na hasara kubwa jijini Dar es Salaam na maeneo mengine nchini zimetajwa kuwa ni moja ya ushahidi wa udhaifu wa miundombinu ya kweza…
Continue Reading....