KIONGOZI wa chama kidogo cha upinzani nchini Burundi ameuawa kwa kupigwa risasi. Mwili wa kiongozi huyi, Zedi Feruzi pamoja na wa mlinzi wake ulipatikana nje…
Continue Reading....Tag: Burundi
Jeshi Linalomtii Rais Nkurunziza Lazima ‘Mapinduzi’ Burundi
JESHI linalomtii Rais wa Burundi, Pierre Nkurunziza jana lilifanikiwa kuzima mapinduzi ya kijeshi yaliyopangwa kufanywa na wanajeshi wafuasi wa Meja Jenerali Godefroid Niyombare aliyetangaza kupitia…
Continue Reading....Mwenyekiti Vuguvugu la Maandamano Burundi Azungumza Tanzania
Mwenyekiti wa Chama cha UPD-Zigamimbaga, ambaye pia ni mwanaharakati wa vuguvugu la maandamano nchini Burundi, Mugwengezo Chauvineau. Hapa mwanaharakati huyo akisisitiza jambo kwa wanahabari. Salha…
Continue Reading....JK: Salama ya Burundi ni Kuheshimu Katiba na Sheria
RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Jakaya Mrisho Kikwete na Mwenyekiti wa Mkutano wa Wakuu wa Nchi Wanachama wa Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC),…
Continue Reading....Uainishaji Mipaka Kimataifa Burundi na Tanzania Hauwagawi wakazi
Na Aron Msigwa – MAELEZO, Kagera MARAIS wa Tanzania na Burundi wamewatoa hofu wakazi wa maeneo ya mpakani mwa Tanzania na Burundi kuwa zoezi la…
Continue Reading....