IKULU imeeleza kuwa imeshindwa kutimiza ahadi yake kwa taifa ya kulipatia Katiba Mpya ifikapo Aprili 26, 2014. Katibu Mkuu Kiongozi (KMK), Balozi Ombeni Sefue alilieleza…
Continue Reading....Tag: bunge la katiba
Sitta Awapoza ‘Wapinzani’ Bunge la Katiba…! Bunge la Katiba Laendelea
Na Magreth Kinabo- Dodoma MWENYEKITI wa Bunge Maalum la Katiba, Samuel Sitta ametangaza rasmi majina mengine ya ziada ya wajumbe wapya wa Kamati ya Uongozi…
Continue Reading....Baadhi ya Wajumbe Bunge la Katiba Wataka Serikali Mbili
Na Magreth Kinabo – Maelezo Dodoma BAADHI ya wajumbe wa Bunge Maalum la Katiba wamependekeza kuwepo kwa Muundo wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania wenye mfumo wa…
Continue Reading....Warioba Ajibu Mapigo ya Kikwete
ILIYOKUWA Tume ya Mabadiliko ya Katiba, chini ya Jaji Joseph Warioba, imetoa ufafanuzi katika baadhi ya maeneo ya Rasimu ya Katiba yaliyokosolewa na Rais Jakaya…
Continue Reading....Dk. Nchimbi Alia na Wajumbe Wanaotaka Madaraka Bunge la Katiba
Na Magreth Kinabo – Maelezo, Dodoma BAADHI YA WAJUMBE wa Bunge la Maalum la Katiba wamewataka wajumbe wenzao kujikita katika mchakato wa mjadala wa Rasimu…
Continue Reading....