
Kamishna wa Sensa wa Ofisi ya Taifa ya Takwimu (NBS) Hajjat Amina Mrisho Said akitoa ufafanuzi kwa waandishi wa habari leo jijini Dar es salaam kuhusu zoezi la Sensa ya watu na makazi 2012 linaloendelea nchi nzima na kutoa wito kwa wananchi ambao bado hawajahesabiwa kutoa taarifa kwa viongozi wa serikali za mitaa.