Salamu za rambirambi kutoka mtandao wa Hakielimu Posted on: September 12, 2011September 12, 2011 - jomushi Tunatoa pole kwa Watanzania wote kwa msiba uliotakana na ajali ya meli huko Tanzania visiwani. Mwenyezi Mungu awalaze ndugu zetu wote waliotangulia mbele za haki, mahali pema peponi.